Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTAH BILA MAKE UP INAWEZEKANA (MCHANA )

j wake lo

hapa sina hata make up


Nimeamua kuanzia sasa sitopaka make up mchana yaani  sura yangu itakuwa natural kama unavyoona katika hizo picha za juu,  sikupaka chochote41 comments:

Anonymous said...

Namkorogo uache utapendeza sana kwa kweli na utakuwa natural kiukweli

elisa said...

Nywele nzuri sintah

Anonymous said...

Kumbe yale ma-make up yalikuwa yanakufanya uonekane ka aujuza kumbe kabinti kadogooo!!! sasa next step toa na hayo manywele ya marehemu hapo kichwani.

Anonymous said...

u look gud,

Anonymous said...

Uongo dhambi you are looking superior hiyo weaving imekupendeza sana nijuze tafadhali umeinunua wapi nami nipate yangu labda nita look like you.

Mariam D - Morogoro

kitumbushu said...

u still look face with that wig/pierce

juliana d. said...

looking good mamaa its a good thing for what u dcd not kupaka makeup hata usiku km ya kwenye kilimanjaro music awards ilikutoa chicha sana

Anonymous said...

Mbona wanja umepaka sasa..na wanja acha pia

Anonymous said...

Mm nmependa hyo weaving, umependeza mdada

Chris love said...

Ur always nutty me love u wajina mwaaaaa

Anonymous said...

utoe na hayo mawigi usuke twende kilioni ndo utapendeza zaidi

Anonymous said...

U luk good,Sintah wang,am goin to buy it 2mor lol na me nipendeze kama wewe love u....!

Anonymous said...

'U still look face with that wig/pierce'

Mweh! hizi lugha jamani. Mi hapo nimetoka kapa, sijui kwa sababu Maimuna!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Wale wanafki mko wapi.....hebu mkuje mumuone kabinti ketu hapa bila make up na bado anang'aa... U still look amaizingly cute mamii Sinta wa Duniaaaaaa! Wasiokupenda waende uvunguni kisha wasimame teh teh

ngaizaskids said...

We ni mzuri Sintah, tena uzuri wako wa asili unakutoa sana.

Anonymous said...

Acheni uongo na yeye mwenyewe aache uongo unless hamjui maana ya make up ni nini. Au mnafikiri make up ni yale mapowder na mafoundation tu mnayopakaga? Mtu kapaka wanja wa chini na juu na lipstick juu bado anasema eti katoka natural bila make up? Lol kumbe safari bado ni ndefu. Sema tu nimepunguza make up sitakuwa napaka foundation na powder.

Arthur Amit said...

nice pics..

Anonymous said...

Sinta tupe jina la hizo nywele nasi tukatafute! Umependeza... Kizuri kula na wenzio, kibaya tupia mbwa. WAPI SHAMIM ZEZE? TEH EEH EE...

Anonymous said...

Wanafiki mashoga zake,sisi anatuhusu nini huyu heheh huingia humu kujifurahisha tu ya ngoswe muachie ngoswe wanafiki mnaomjua huyu

Anonymous said...

Ivi kwani wanja sio makeup?

Anonymous said...

Apake wanja wapi hayo ni matokeo ya mkorogooo"....macho huwa hayatakati yanabaki na rangi yake ya asili

Anonymous said...

wewe ni msupuuu
stay blessed cutie

anonymous said...

lookn good,me love the weavn nakumbuka j wa nature alivyoimba dem gani kla cku unaomba laki alizani mtoto mzuri km ww kumiliki rahisi rahisi eeeh,lookn good dear!

Anonymous said...

Pendeza wewe kama kawa my JLO..
Mbona jamani hum ft SPORAH wa the sporah show? mi nampenda sana yule dada jinsi alivyo kivyakevyake, utazani sio Mtanzania vile, halafu nimeona ameweka picha yake lakini fans wake wa UK wanasema etu amefanya surgery.

Nadia said...

U look good sweety ma makea up ya kila cku yanazeesha.paka mara moja moja kwenye mitoko maana hayo ukishakua addicted nayo ucpopaka uso unajikunja km kibibi,I have a neighbour ambae cku moja wanapigana na mme wake asbh asbh akakimbilia kwangu haki ckumjua coz alikua hajayapaka na mimi huwa tunakutana tu nje wakati tunaenda job...and I was like haaaa ni yeye au mama yake?

WEPRAC said...

AAAAAWAPI MBONA BADO AJUZA?

Anonymous said...

Umeishiwa pesa ya make up huna lolote

Anonymous said...

Umependeza,ukipendeza tunasifia kwenye mijishauo tunachamba tu na huu sio unafki ndio ukweli wanafiki ni hao unaozurura nao sisi tukufanyie unafiki unatuhusu??zaidi ya burdaaan tu hapa

Anonymous said...

Uvunguni mnatosha nyie walala wima,msio kuwa na migodoro ya maana kwenu!unafiki sie tuna mjua huyu zaidi ya kumuona humu anapoenda ndivyo sivyo tunampa vidonge vyake nyau wewe anony wa hapo juu,btw umependeza christine aka J wake LOL

Anonymous said...

Jamani Sintah muogope Mungu wako acha kusema uwongo, maana kama hujapaka kitu, why hapo usoni kunaonyesha kabisa kulipoishia poda? Yaani panapoonekana hapo hapajazibwa na nywele ni rangi nyingine na usoni rangi nyingine. Your natural skini colour inaonekana vizuri hapo nywele zilipoachana hapo juu ya uso.

Anonymous said...

uliwahi kuwa mrembo zamani sana. wakati ule wa Juma nature. ulipodanganywa kuhusu rangi yako ukajikoboa ndio ilikuwa mwisho. utahangaika sana, you will never be mzuri. utahangaika sana, hata hapa ni mahangaiko tu, Guilty! Umeanguka, rudi ulipoangukia rekebisha kuanzia pale, utapata amani na mahangaiko yako yatakwisha na utaridhika kuwa Sinta!!

Anonymous said...

na kuishi bila kugawa mkundu inawezekana mffyuuuuuuuuuuuuuuuuu ovyoooo toa hayo mavuzi pia kichwan tukuone kama watu hawajakimbizana kikikikikiki jitaidi tuuu kenge nyie

Anonymous said...

pendeza mama!!!!!!!!!!

Anonymous said...

mh hapo hata sioni naturality yoyote cz maana bado una artificial skin tone/colour, artificial hair so hizo zote ni make up my dia au unadhani make up ni foundation tu na powder?. Toa make up zote mpaka manywele ndo utakuwa natural na utapendeza labda. Maana nakumbuka zamani kaole group ulikuwa kabinti keusi

Anonymous said...

Acha na mkorogo...umekuzeesha!Waswazi bwana bila mkorogo hamjioni wazuri...

kay said...

hakuna binaadam mmbaya wote mungu katuumba sawa,sema kuna vitu vilivyoletwa na binaadam ndio kama hivi,sasa hivi kuwakuta wakinadada wapo natural ni aghalab sana hapa nazungumzia hawa tunawowaona mara kwa mara kwenye magazeti na mablog, jaribuni kuvipunguza kidogo,narudi kwa bibie sinta tuwekee picha ya natural kweli kweli

Anonymous said...

Sijawahi ona nywele yake aliozaliwa nyo ni bandika bandua hayo madude halaf eti ohh mie muislam nafunga utafunga na weaving kichwani?ulikuwa on diet sema,na mbona huendelea na zile funga za jumatatu na alhamis nyie ndio mlaniwao na mungu mwisho wa siku anakudhalilisha mbayaaa kama kina fulani

Anonymous said...

Hutushawishi bado

Anonymous said...

Unasura ya kihaya,we mpare kweli??

Anonymous said...

Ungekuaga mzuri kama demu wangu ungeringa sana.

Anonymous said...

mmh mi namzimia sintah aliokuwa katika video ya juma kakere hebu muweke tumuonee basi