Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ZANTEL INANISIKITISHA

Dear wadauzz

leo nimeshindwa ku update matukio ya weekend hii yote ni kwasababu ya network ya mtandao wa Zantel ninao tumia
msijali najitahidi kadri ya uwezo wangu coz kuna vitu vizuri sana

j wake lo

6 comments:

Anonymous said...

Baada ya kukwambia unasubiri kwenda ingia kwa computer ya ofisi?heheh na comment ukabania wacha weeeh

Anonymous said...

Sema ukweli dada wkend huwa huingii mpaka jumatatu ukiwa job sio ohh zantel huna laptop now tukuchangie wadau wako coz unaboa kupost kitu mpaka baada ya siku3 halaf kama leo umeingia mbona hakuna jipya hiyo ndio story ya leo??mweeh

Anonymous said...

Siku hizi comment zinazokugusa unaweka kapuni haloooo unaisoma kimya kimya msg seeeeeent!kijitu kifupi kina mambo

Alice said...

tumia ya ttcl ni nzuri sana sintah

Unknown said...

Jamani mbona unawaharibia soko wenzio. Si vizuri kusema negatives za organization fulani tena by mentioning the name. huwa tunajitahidi sana kutotoa promo za business za watu bila kujua eti kwamba hawatulipi,iwe ivyo basi kwa mapungufu yao unless umelipwa na competiting firms.

Anonymous said...

Tumia internet ya Airtel wewe dada 3.75G, zantel My ass..