Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

RIO THE STYLIST ANAULIZA R U READY FOR THIS?

Rio paul anakuletea usiku wa mitindo njoo tujuane,tuserebuke,tuuane na tujichanganye pamoja n mastaa wa bongo movie,bongo music na mafashionista wa ukwee.tupia swagaa zako na uje tu rock red carpet na party kabambe.

COMING SOON

Rio Paul

3 comments:

Anonymous said...

Bwana wake ni nani mjini tehtehteh kajilegeza mtoto wa kiume Lol ladyboyyy

Anonymous said...

Waliolaaniwa!!!!na alaaniwe kila atakae shirikiana nao,shame on you sintah kama kweli wewe mtoto wa kiislam achana na hawa watu hutopata baraka za mungu kamwe,otherwise humuogopi mungu endelea

Anonymous said...

atubu kwanza ndo utuonyeshe kazi zake