Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NAKUNWA SANA NA UCHEZAJI WA HUYU KAKA

Drogbahuyu kaka uwiiii,juzi alitutoa kimaso maso wana chelsea,unajua mimi si mshabiki vitumbua wa timu za nje,ila niliingia chelsea kwaajili ya huyu kijana.
long live Didier  Drogba.


7 comments:

Anonymous said...

kijana anakipiga wacha..no drogba nahama team

Anonymous said...

hapo umeharibu sasa uwiiiiiii cmpend ka nn

Nadia said...

Waaw...thats y Iluv yu SINTA kumbe m chelsea mwenzangu....

Anonymous said...

kama humpend kanye huko tupishe tunaempenda droga

Anonymous said...

am his fan too!Long live Didier Drogba!

Anonymous said...

nikutumie namba yake?

Anonymous said...

lol