Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

BABY SHOWER YA MTOTO WA MAI MATHA

mammy,toto na bibi
asikwambie mtu raha ya dunia ni
mtoto
Mc ana swagga
mti wenye matunda ndio unaopigwa
mawe
lolest
Bilaliii
seduction
baby ya sauda hii
shemeji yangu mie

msosiiii
my best partner akipakuwa
chakula
bongo movie
wanock nock mliosema sauda kagombana
na mai mmeshushukaje
ovyoo
kuzusha tuu
Mc jamani huu ni uvivu au?
kukaa tena
Mc Sintah akiwa
kazini
yaani nakuwaga serious53 comments:

Anonymous said...

jifunze kuipenda miguu yako hivo hivo ilivyo sio kila picha kupishanisha miguu maana sasa unakuwa kama mlemavu wa miguu!love yourself the way you are maaana haitakaa iote nyama hyo miguu ndo ilivyo!shukuru Mungu hvo hvo!by the way it was a nice baby shower party

Anonymous said...

hongera mai MUNGU akukuzie

Anonymous said...

Jamaniiiii, baby shower baada ya mtoto???wtf? wabongo tutaacha lini ushamba smh....

Anonymous said...

jamani jamani mm sielewi ndo uroho au yani ww sauda hata honeymoon hujakaa mbio kwa maimatha mnatabu wa bongo hivi hata saba umemaliza kweli jamani bi harusi ni malikia eti ujithamini halafu ndo utathaminiwa haya wabongo mnamambo sana duh!

Anonymous said...

baby shower huwa ni kabla mtoto hajazaliwa hii imekaaje. labda mi mshamba mnieleweshe

Anonymous said...

Tuuu natema mate, wacha leo niseme moja tu , Mimi hiki kitendo chenu cha kuwa saport hawa mashoga Hasa hio Balaliii hv nyie kama kioo cha jamii mtakuwa mnatufunzanini, yaani ni maranyingi tunawaona na hili shoga wenyewe hamjisikii vibaya, Mimi kweli na chukia sana hiyo tabia yenu

Anonymous said...

KWELI MWENZANGU ASIKWAMBIE MTU RAHA YA DUNIA NI WATOTO, MWENYEZI MUNGU AWAJAALIE WANAWAKE WOOTE DUNIANI WASIO NA WATOTO WAPATE WATOTO INSHAALLAH. MAI KAFANANA NA MAMA YAKE.

Anonymous said...

WAMEPENDEZA LAKINI MBONA MUME WA MAI HATUJAMWONA AU YUKO NJE KWA SAFARI, WEKA PICHA YAKE TUMFANANISHE

Anonymous said...

na wewe zaaa wako sintah umri unaenda dada angu ohooooo we shangaa shangaa tuuu

Anonymous said...

Viatu pic ya 3 midole yote mbele kama inataka kutoka,hilo shoga sura mbaya kama kimba hovyooooo!

Anonymous said...

Huyo shoga sura ngumu,kama kalamba ndimu,wanaolichukua wote akili zao pungufu!

Anonymous said...

Vp mbona unaniangusha unstoppable! Hiyo inaitwa welcome baby sio baby shower bana, baby shower ni b4 mtoto hajazaliwa.

Anonymous said...

NA MASHOGA PIA WAMO DUUH! KAZI KWELI KWELI

Anonymous said...

NA MASHOGA PIA WAMO DUUH! KAZI KWELI KWELI

Anonymous said...

NA MASHOGA PIA WAMO DUUH! KAZI KWELI KWELI

Anonymous said...

umependeza lakini miguu shosti kichefuchefu

Anonymous said...

Makuwadi mawili yalikutana hilo lenye sura ngumu,duh linajibinuaga kama anataka kunya!unakuwaje na urafiki na mijitu imelaaniwa hata malaika haiikaribii manina wasenge woteeee

Anonymous said...

yan me silipend hilo lidubwana linalijiita BILAL aghhhhhh!!!! lione et limeweka poz utafkir linakunya mfyuuuuuuuu,, mpua mkubwa kama rungu la mgambo,, MANINA

Anonymous said...

MHH LEO NDO NIMEONA HIVO VIMIGUU VYAKO JINS VILIVO KOMAA DUH VIGUU KAMA FYKEO!!!!!!!!

Anonymous said...

shost naona mchuchumio ulikushinda

Anonymous said...

Hongera sana Mai kwa mtoto. Anaitwa nani? MSHUKURU MUNGU ATUJALIAYE WATOTO!
By the way sinta, miguu yako sio mibaya, kuwa free, usisikilize watu wanakuambia mara iko hivi mara vile, jamani! Una miguu inayoendana vizuri na wewe na ndo mana unaitwa sinta. Its ok, u just be free!

Anonymous said...

unajifanya unaconfidace kumbe wapi hujiamini kila saa unakunja miguu njiamini ndivyo mungu alivyokuumba bana hata kama spoke. ishi unavyoweza sio wanavyotaka watu

Anonymous said...

fanyeni yote ila mumkumbuke sajuki jamani........

Anonymous said...

SINTAH WE SI MSOMI,HUELEWI HATA MAANA YA BABY SHOWER?BABY SHOWER NI KABLA MTOTO HAJAZALIWA LABDA HIYO NI KUMTOA MTOTO 40.KWELI NYIE NI USWAHILINI UTD.

Anonymous said...

Huyo Bilalii wao mpaka aje awachukulie waume zao ndio watamuogopa. Halafu Mai si alikuwa hapatani nae huyo Bilalliii.

Anonymous said...

haieleweki, baby showel, birthday, maulidi au????
mbona mimi mshamba!!!!

Anonymous said...

naam! raha ya dunia watoto. we unazaa lini?

Anonymous said...

high hills zina wenyewe!!!!!!! NAONA ILIFIKA POINT UKAVUA NA KUVAA FLAT POLEEE WEEEE!!!! TUACHIE WENYEWE NA FANI TETU BI DADA!!!! OTHERWISE MAI IS ON POINT NA MIMI PENDA BONGO MOVIE GROUP!!!!

MIGUU YAKO TAFADHALI POKEA USHAURI HAPO JUU JIKUBALI ULIVYO!! FULL STOP!!!

Anonymous said...

Leo sauda kakufunika,kapendeza kuliko wewe,usibanie hii manake huchelewi

Anonymous said...

Bilali kundu wazi mbayaaaaAaaaaaaaaa lione

Anonymous said...

hongera mai jambo la heri

Anonymous said...

Huyo mume wa Sauda hajui kuvaa chupi?Mipumbu imemtuna humo kwenye jeans au ana busha?

Anonymous said...

Kukurupukia mambo ili uonekane pia wajua.baby showel huwa kabla ya mtoto kuzaliwa.na baada huitwa welcome baby party.koma kutupa matukio kama hujui yana itwaje.

Anonymous said...

Hongera mai...mungu akulinde wewe na familia yako. Ni uamuzi tu wa kuifanya kabla au baada tatizo wabongo mnakremu tu mambo

Anonymous said...

mmmh hii baby shower sijaielewa!au NDIO KIHEREHERE CHA KUMFANYIA MTOTO BIRTHDAY..BABY SHOWER GANI HII

Anonymous said...

mmmh hii baby shower sijaielewa!au NDIO KIHEREHERE CHA KUMFANYIA MTOTO BIRTHDAY..BABY SHOWER GANI HII

Anonymous said...

Hahahahahahaha BABY SHOWER???????? na master zenu....baby shower my ass....

Anonymous said...

msonyoooo...mfyuuu!!! nikimuonaga huyo shoga nahisi harufu ya mavi..kila siku kwenye shughuli za wanawake na hicho kipochi na vinguo vyake hivyo hivyo mpaka vimepauka..hovyoo..

Anonymous said...

unaweza fanya bby shower hata baada ya kujifungua....ni maamuzi tu..
..msipende kujifanya wajuaji wa kila kitu

Anonymous said...

kweli mama mashauzi raha ya dunia watoto..ila nashangaa wa kwako unavyomfichaficha,umeshatuwekea picha za watu wote wa kwenu humu kasoro mwanao.hata kama mbaya ni wako tu be proud of him,we si unamuiaga mange?muige na kuweka pic za mtoto..nyooo unajifanya mama confidence lkn mtoto wako na miguu yako inakunyima raha duniano,teh teh andunjeeee

Anonymous said...

Hujapata laptop tu na hivi leo holiday hujaenda kazini kwi kwi kwi hapa mpaka ukiwa kazini ndio upate kuingia kuweka comment zetu msomi wetu

Anonymous said...

Jamani nyie washamba,baby shower ni ya mama na sio ya mtoto na inakuaje inafanywa baada ya mtoto kuzaliwa?!Ingefaa iitwe welcome baby XXX.Ushamba na kupenda kuiga msonyooooooo

fetty said...

sinta hujapendeza kwa kweli loh!!!

viatu unatembea na pea mbili ha haha ha chezea high heals utaumiaaaaaa

Anonymous said...

Bora mume wa sauda alivyoacha kusuka nywele maana nilivyomuona siku ya kwanza na zile twende kilioni kwenye ile engagement yao nilichoka, ila sasa anaonekana mwanaume wa ukweli, asirudie tena kusuka

Anonymous said...

mume wa mai yupo nje kakwambia nani?ni lipolisi lisilokuwa na cheo lipo central polisi.

Anonymous said...

Umependeza mwaya msomi wetu, hawajuwi umevaa kisomi nini miguu yenyewe ya kisomi hiyo ulivyokuwa unawahije namba shule ya msingi chezeee msomi wetu.

Anonymous said...

Mmmh nyie wasichana wa mjini mnapenda mambo yasiyo na mana. maana nawaunga wenzangu mkono hapo juu baby shower mtoto ameshazaliwa? mbona mnapenda reverse? alafu hivi kwann mnampenda huyo shoga Bilali? maana huyo malaika mnamchanganya na watu wa ajabu hao jamani mbona mnamkufuru Mungu?mimi sijapenda kabisa!msingeita baby shower na hilo lishoga linuka mavi msingelialika. mfyuuuuu bilali hovyo!"

Anonymous said...

Mmmh nyie wasichana wa mjini mnapenda mambo yasiyo na mana. maana nawaunga wenzangu mkono hapo juu baby shower mtoto ameshazaliwa? mbona mnapenda reverse? alafu hivi kwann mnampenda huyo shoga Bilali? maana huyo malaika mnamchanganya na watu wa ajabu hao jamani mbona mnamkufuru Mungu?mimi sijapenda kabisa!msingeita baby shower na hilo lishoga linuka mavi msingelialika. mfyuuuuu bilali hovyo!"

Anonymous said...

siku hizi blog kama simu za mchina

Anonymous said...

azae mara ngap sinta mtoto wake yupo kampala hataki kusema..

Anonymous said...

Naskia harufu ya nya humu,kumbe hilo dume hapooo kha!nya tu shenzi zake bilal

Anonymous said...

Hali ya hewa nzito humu sababu ya hilo firauni hapo heheYaaaaaaaa

Anonymous said...

Sinta ana mtoto mkubwa tu sijui kwa nini anamfichaga labda ili hasionekane amezeeka