Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NYWELE NYWELE ZINAUZWA

hii ni 100% Human Hair
achia zile za wale PRC
siku mbili zimekakakama
manshallahkwa habari kamili muone yeye mwenyewe Devotha Diva in town utoe order mapema maana anasafiri akuletee,
mtwangie kwa mambo ya nywele 0784 622376,kwa wanaume msiishike ni mke wa mtu huyo sitaki kuwa shahidi kwamba niliweka no ikawa vile(joke).

9 comments:

Anonymous said...

Yaani hapo ndio napokupendea, kama vile ulijua niko na shida na nywele hizo, asante sana nitaongea na diva kesho.
dadake bo'bo

Anonymous said...

Sinta mi naomba kwanza namba yako kuna kitu nikuulize.

Mashauzi.

Anonymous said...

mashallah na sio manshallah

Anonymous said...

Sintah my dear ungetuambia akwambie na prices anazofanya before mtu hajatoa order plzzzz

Anonymous said...

mi nimevutiwa na MOET!!

Anonymous said...

haya manywele ya bandia yameshafanya wanawake wa siku hizi wasahau kutunza nywele zao natural,mtu anaonekana mrembooo lakini akitoa hayo mafake hair utadhani msukule.hizi nywele fake zinaua natural hair huko ndani na hi ni biashara ndo maana ukishaanza kuvaa hizo fake utataka uwe nazo siku zote,and that means destroying ur natural hair..wake up ladies its time we show our natural sides...mtajibebaje mlio na vipilipili

Anonymous said...

Ndo maana wenye nywele zao wanatudharau....

Anonymous said...

i kweli mdau wa hapo juu wabongo bado wako nyuma naizo fake hair mpaka wakiamka sijui itakuwaje mm nina saloon yangu nafungua soon bongo kwajili ya kuwasaidia watu ili kututnza na namna ya kukuza nywele zao mpaka zifikie urefu kama wa uyo dada na fake hair zake ikiwa tayari nitawahabarisha wadau na ntaweka video zangu ili muone kazi zangu na watu nilio wasaidia kwa ushauri na ambao nimewatengeneza nywele zao kwa mda wa miaka mi2 tu na ukiona nywele zao uwezi amini mpaka uzishike ndio uakikishe kama ni zao

Anonymous said...

Sababu za kutotumia nywele bandia

- bonding ni hatari chemikali inayotumika ni hatari kwa afya
- kwanini hahuwi proud na nywele zetu tunataka nywele za watu
waliokufa au waliokata kwa sababu za kiimani
beauty /urembo si kuwa uzungu. hivi hatuwezi kupromote nywele zetu kuwa ndio std sio uzungu watutawale watuambie weupe ndio urembo mara sasa nywele ndefu ndio urembo watatutawala mpaka lini?