Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

INT WOMEN'S DAY, DINNER @ HYATT ME N MA TWO LADIES

thanks Amne kwa dress hii
yes we can
kashiba ndindiii
kitu cha dessert
my Nargis& I


yes we can pay our own bills, coz we  dont wait for low mentality men to pay our bills,this is my motto for this year.

we had a blast, wote ni intellectual,so tunajua kusoma mazingira ya sehemu.
kuweni makini mkichagua marafiki wapenzi inasaidia sana,sio rafiki mzigo kila siku wewe tu ndio ulipe bills.ndo zile za kwangu ni za ATM za wengine ndio za kuchezea looo.

Int Women's day ilikuwa pouwa sana,wanawake tupendane na tusichukiane.


samahanini picha hatukwenda na camera kutokana na mazingira yenyewe maana tulienda dinner mara simama kaa duu tunaonekanaje,hizo ni blackbery tu

11 comments:

lolipop said...

Mmpendeza wadada halafu mi sintah nakupendaga ulivyo... msomi.. mzuri na una roho nzuri sio kama nanihiii... pretender...

Anonymous said...

kwani huyo bill sh ngapi wewe??? mgeni wa mambo utamjua tu.. ushamba unakusumbua tu

Anonymous said...

Ushuziii tuu ww unaejiita jlo uharo mmh ss ukipiga na matako yako nan amekuuliza blackberry ata ingekuwa mchina inausu, mbn wajishauwa BB zmekuwa km njuguu.. Ungeenda tu na kikamera chako tu em tupishe apaa, izo co level zako

Anonymous said...

Kweli africa africa tu desert kama ugali....anyway have fun

Anonymous said...

kwani la ajabu ni lipi hapo? au ulizoea kununuliwa na kulipiwa bills ndo maana unajitapa hatimae umeweza?

Anonymous said...

before weekend zilikuwa comment 14 how come leo ziko tano tu??

Anonymous said...

mwenye class pekee hapo ni Nargis.....nyie mliobakia mkatolewe kwanza mapepo ya ngono mfffyuuuuuuuuu

Anonymous said...

haha hahahahh nicheke mie

Anonymous said...

hallooooooooooooooooooo hatasikujua ni desert

Anonymous said...

vise versa

LeYlAh said...

hahahahah mbavu zangu mie