Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HAPPY WOMEN'S DAY ( THESE ARE MY HEROES)

Nargis &Shally

she means alot to me
my mumy Hawa& jlo TZ
my aunt & ma bff
ma bffs
Nargis&I


mpenzi bibi yangu mieNawatakia kila la Kheri katika siku hiii

28 comments:

Anonymous said...

Wow ur bibi mzuri km wewe napenda mabibizz sana jamani Nampa busu kuubwa.

Simah

Anonymous said...

Kwangu mimi mama yangu ni kila kitu. Katika hali yoyote siwezi kutanguliza kitu chochote rather than my mom??? Kutanguliza rafiki kabla ya Mama??? That one is strange??? NANI KAMA MAMA! Nawatakia kila la heri katika Siku ya Wanawake! Be Strong!

Vina!

Anonymous said...

Nampendaje kidoti!yupo very simple.

Anonymous said...

teh teh teh eti unapenda mabibi!!Sinta bibi wa watu anajua kwamba umemuweka huku jaman

Niwa said...

NARGIS MASHAALAH....MMMMMMH MIGIRO SHE'S YR AUNTY....KM KWELI C UMEMTIA AIBU SANA KUSHADADIA UFUSKA WA WEMA? INABIDI UJIREKEBISHE SANA KWA MENGI COZ ULIKINUKISHA....

Anonymous said...

Sintah kwa nini hujaweka picha yako na mtoto wako? Si una mtoto wewe kwa nini hujawahi kutoa picha humu ya wewe na mtoto wako? Una matatizo gani wewe? Muone kwanza, kama unaona aibu kuweka mtoto wako humu si useme tu!!

Anonymous said...

heeeeeee!!!!!!!!

Anonymous said...

who is your best friend?wema kidoti au nargis

Anonymous said...

Happy womens day dear. Naona Wapare mko juu (MIGIRO, MANGE, SINTAH)

Anonymous said...

sinta sikupendi hata kidogo wewe ndio wa kwanza kuanza kunuharibia wema kwa kumtoa kwenye blogsport yako kwa nini ulimtangazia mwenzako mambo yake unatabia mbaya sn magazeti ya udako yote yametoa habari toka kwako halafu unajifanya rafiki wa wema mnafiki mkubwa wewe.

Anonymous said...

To all the women on ths special day jmn...we should be proud of ourselves and thank GOD for who we are.....STRENTHG OF A WOMAN we should know that we can in any oportunity that comes our way.....MWA MWA MWA to all women.


LULU.

Anonymous said...

Mh sintah we snich!wema c bff wako.mbona hujamuwekaaaa?lol.napita mie.ila mmependeza.

Anonymous said...

kwan we bibie una ma'bff wangap????

Anonymous said...

jamani bibi anaoneka enzi zake alikuwa tishio kwa uzuri nimempendana Mungu amlinde na ambariki

Anonymous said...

happy womens day, mama mashauzi!

Anonymous said...

Happy women's day my dear. Nafurahi kuona unakumbuka bibi, mama na marafiki zako siku muhimu kama hii. Sijaona picha ya wema hapo kulikoni. Kamata mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Anonymous said...

Yeah sinta umefanana na mama yako ila wewe ni mweupe kidogo..na pia kuna kitu umefanana na bibi yako kidogo..huyu ni bibi kwa baba au mama?....KUMBE MANGE NI HERO WAKO..HONGERA HAPPY WOMAN DAY.

Anonymous said...

big up kwa bibi & i love u sooo much Sintaaaa toka uko kaole big kibwaaaaaa

Anonymous said...

Kumbe Bi Asha-Rose ni aunt yako,.umetishaje andunjelele....

Anonymous said...

mama yako ana rangi nzuri sintah!!!

Anonymous said...

yeye si ameuchamba uso wala sio rangi yake hiyo makalio na magoti meusi kama pua ya mbuzi.

Anonymous said...

Nje ya topic..mbona hautuwekei habari ya miss tz no 2 wa mwaka jana aliyemfuata salha kuwa amejifungua si kinyume cha sheria kushiriki umiss ukiwa na mimba ina maana kama amejifungua saivi alishiriki akiwa na mimba hawa mabinti wa siku hzi sijui wanakimbilia nini kuzaa binti mzurii kuzalishwa saivi msonyooooooooooo

Anonymous said...

Wema ni rafikie wakati wa kuchuna waume za watu wakati wa kamata mwizi kidoti ndio main bff wana vijimambo hawa yani wananikera sijui wametokea wapi wachafuzi wa bahari hawa kila wakiogelea lazima itokee tsunami

Mboni said...

Nilitegemea mama yako angekua wakwanza kabla ya magumegume wenzio

Anonymous said...

simple bt mashaaaauzi cuzoooo akiwa sehemu anataka aonekanae hata kwnye family gathering puuuu

Anonymous said...

Mh kumbe contact Ana Kyoto!!!!!madogo

Anonymous said...

none of ur business..msonyo wa nini? kakuomba hela ya kulelea mwanae...fyuuuuuuuu

Anonymous said...

heheheheh uwiii pua ya mbuzi duh hiyo kali ,,, jamani watu wa humu wana misuto ... kaazi kweli kweli