Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HASHEEM THABEET HAS BEEN TRADED TO PORTLAND TRAIL BLAZERS


6 comments:

Anonymous said...

aaaaaaahhhh oooooohhhh i feel like coming uwiiiiii mimi penda sana huyu kaka...

Anonymous said...

kimeo huyu, urefu wake hajui hata kuutumia! huku USA hajulikani ila TZ wakina jocate nasiki wanampaptikia....afadhali aende huko kwa wachovu wengine

Anonymous said...

USA hajulikani kasema nani wewe mwosha kinywa mpenda ku diss wewe! akina jokate gani..mbona watu mnapenda kuchonga midomo yenu kama chuchunge pasi na sababu hata shetani anayewatuma anaona kabisa mna over do!!!! tokeni hapa bwana..eti USA hafahamiki..we ndo unafahamika?

Anonymous said...

Great move, wish him all the best

Anonymous said...

Kaza msuli kijana sasa hv utapotea kwenye game

Anonymous said...

meaning? tafsiri please mie sina masters