Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WATU WANAHARIBU MAANA YA BBM

jamani this is too muchhhh kineke uno,

hee kila mtu anauliza bbm pin utafikiri no ya simu,sasa basi kwa wale ambao hamjui bbm pin ni kwaajili ya watu close ili muweze, kuwasiliana si ya kila mtu,utakuta mtu hakujui humjui eti naye anauliza pin yako eti nipe pin yako sasa tuta chat nini?aaaagrgh basi kama ulikuwa hujui naomba ujue sasa,
so stop kuulizia watu pin zao now

from j wake lo

8 comments:

Anonymous said...

afu ni CHINEKE(GOD THE CREATER) na sio kineke

Anonymous said...

Wot z blackberry? Mbn watu tunazo miakaaa na atujishauwi ww wa jana kw nayo ndio unajinaaadi, vitokololo ndio wanataka pin yako ukiwa wa maana nani atakuanza? Em peleka kule. We sintah ungekuwa km mwavita ww tucngekunya loh unamashauzi ad kero

Anonymous said...

ovyooooooooooooo
huna la maana la kutuambia wewe
kama hutaki kutoa pin si unakataaa tuu
lakini misifa yako unatoa
alafu unatupigia kelele hapa ovyoooo
mshamba wewe....

Anonymous said...

NDO MJUE SASA BLACKBERRY ZISHAKUWA CM ZA KIZARAMU

Anonymous said...

Mdau apo juu umenchekesha kama sinta ana blackberry basi za kizaramu kweli maana majuzi tu alikuwa ana nokia x2 na samsung, leo hii shoga umeingia town una blackberry basi mashauzi balaa na bb curve yako ahahahahah huna haya wewe mtu mrefu loh!
Ebu tutokee hapa usotuaribie pozi ndo maana mnachambwa na mdakuzi kule ngoja zamu yako ifike aanze na ww mmffyuuu

Anonymous said...

USHAMBA.com watu tulishaacha blackberry kitambo tuko na galaxy nowdays.

Anonymous said...

Haaahahahhahahahahaahhahahahahahaha.kwanza unatumia BB gani?usikute kicurve lakn mashauzi kama unatumia 9981!!ushambaaaa ptuuuuu!!

Anonymous said...

Utakuta ni wanawake wenzie wamemuomba basi kaifanya issue,tehtehteh angekuwa mwanamme ungempa lazma!nyooo ukitongozagwa unakuja tueleza humu??kama wewe mwanahabari bb pin yako kutoa cha ajabu kitu gani??unakosaga yakuandika mama naniliuu