Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KUSOMA BILA MADAWATI INAWEZEKANAAAAAAAAAA

8 comments:

Nanah said...

Is this supposed to be a statement or a question? Do you think this is funny? Badala ya kwenda kuuza sura you should be helping watoto kupata madawati! Sijui hizo degree zako umezipataje? You are so dumb!

cleo said...

kwa mara ya kwanza nakupa tik kwa kupost kitu muhimu kwa jamii yetu.

Anonymous said...

Nyie ndo kazi kusifia rais ana sura nzuri wakati nchi inaelekea kuzimu,.urais ni ungozi na si mashindano ya uzuri. Rais anatembelea msafara wa X5,anazunguka na ndege kwa gharama kubwa,wananunua maV8,.kama wangekuwa si wabinafsi hao watoto wasingesomea kwenye mavumbi#amkeni

Anonymous said...

dah hapa kuna ktk blog hii kuna watu wako poa kwa comment zao kweli! japo huwezi kujua kisomo chao wamefikia wapi lakini comment yake tu mtu ukiisoma huwa inajieleza huyu mtu ana upeo!huyu dada au kwa jina lake sintah ni kama binadamu wengine wana mapungufu yao, sasa hata kama atakosea sioni kama ushauri kwa njia ya matusi ndiyo suluhisho!tujirekebishe waungwana jamani

Anonymous said...

Nana I think you are the one who is so DUMB and NAÏVE. How could you dare telling Sintah that she is dumb while we all know This is the POST of the YEAR!!?

She has been posting some unuseful and uneducative pictures that aim at nothing but boast and unnecessary brags.

What she has just done is commendable in our society.

Only dumb ass like Nanah cannot see that.

Big up Sintah. Now start posting issues affecting our society and leave the JLO crap! You are matured now.

Hongera sana

Anonymous said...

Ww sintah umesoma wapi,u should do a fund raising kuchangia basi madawati..unaona its funny hata elimu yako we realy doubt it..

Nanah said...

Wewe uloniambia I am dumb pole sana! Hebu angalia kichwa cha habari ya post hii eti elimu bila madawati inawezekanaaaaaaaa as if ni sawa hawa watoto wapinde mgongo the whole day wakati they deserve better education and necessary tools such as desks and chairs. Badala ya kukemea kitendo hiki na kutuma ujumbe kwa sehemu husika kama Wizara ya Elimu anaandika as if she is supporting hawa watoto waendelee kusoma hivyo hivyo bila madawati. Badala ya kujishaua na picha zisizo na msingi she could do a better job by kuwa sauti ya hawa watoto kwenye sekta husika ili wapatiwe msaada! MXIIIIIII nina KHASIRAAAAAA!

Anonymous said...

i agree with you Nanah. looks like the blogger is mocking or supporting the situation or she just made fun of them kids and their poor TEACHER. if she meant to educate at least she should have included a story explaining the situation, trying to raise awareness about the whole poor learning environment in Tanzania. Sintah might have posted wishing no harm but looks like it is a joke or something! Sintah darling you can do better than that.