Tumeshachoka na hayo magari yenu mnayonunuliwa na mapedeshee na mashuga mama alafu pesa ya mafuta vilungu kibao.Sasa hivi tunataka mtuwekee nyumba zenu mlizojenga na sio mnatuletea mambo ya kuact mpaka maisha yenu.
Yeye analo bwana sema ndio Kama lile la wema kadi za gari Jina la pedeshee mtaani langu langu mwisho wa siku usipompa tako vzr analichukua tunagongana kwenye vipanya.
JLO TUONYESHE WASANIII WA BONGO MNAOISHI NA KUENDESHA MAISHA YENU .TUMECHOKA NA MAGARI YAKUONGWA NA MNANYWANGWANYWA .PUUUUUUUUUUUUUUU.TUANZE NA WEW TUONYESHE KIMARA AU UMEHAMA KWENU LETA UMBEYA ULIOKWENDA SHULE .
20 comments:

Steve Nyerere anachekesha Mimi kwa kipindi duh! Mh! Msalimie
unaonyesha ya wenzio tu ya kwako line
Yeye analo bwana sema ndio Kama lile la wema kadi za gari Jina la pedeshee mtaani langu langu mwisho wa siku usipompa tako vzr analichukua tunagongana kwenye vipanya.
TUWEKEENI MAHALA MNAPOLAZA UBAVU.HYO MIGARI WACHINA WATOA COPY MNAJIONA MMEPATAA MPYUUUUU.HAKUNA HATA STAR MMMOJA ALIEWAHII KUONYESHA MJENGO WAKE ANAOMILIKI AAMEJENGA.KUTWA MAGARI YENYEWE COPYZA WACHINA
LAKO mamie liko wap?..steve kajitaidi gari nzuri bei gani
UNATAKA KUJUA BEI ILI IWEJE HUO NDIO UMBEA
HUYO STEVE ALIKUWA AKIWASEMA WENZAKO KUWA WANAJIONESHA SANA MAGARI NA BADALA YA KUONESHA NYUMBA ZAO.. JE YEYE SASA ANAFANYA NINI ?? PAMBAFFF
JLO TUONYESHE WASANIII WA BONGO MNAOISHI NA KUENDESHA MAISHA YENU .TUMECHOKA NA MAGARI YAKUONGWA NA MNANYWANGWANYWA .PUUUUUUUUUUUUUUU.TUANZE NA WEW TUONYESHE KIMARA AU UMEHAMA KWENU LETA UMBEYA ULIOKWENDA SHULE .
wasanii kumiliki magari nyumba za kulala hatuzioni,hao ndiyo ma super star wa bongo wanauza nyumba wananunua choo
Nimependa ilahapo nyum awalipo andika Nyerere the power mbon amaandishi yamepinda? Mwabie arekebishe yaani imeharibu show kabisa. Hongera sana Steve
Tuwekekee starlet yako mamie
Mdau mdau hapo juu kuna wakina pro jy chaz baba wamejenga nyumba zamaana aswa na jay anajenga nyumba ya pili ni akili ya mtu tu
jamani stor za mjini mbona huku hazipo hahahahahahaha DIAMOND FOREVA
kahaba kama huyu hata hiyo master ni ya kuvua chupi hana akili za kulimudu buku. jamani kusoma c mchezo kama wa kuwavulia mapreshee nguo
Tuwekee picha za show ya Diamond shemeji yako
Kuwadi no one wa Bongomovie, kashawauza dada zetu kwa mapedenshee mpaka kapata gari, duh, halafu dada zetu wanapata ukimwi,...
Duuh!Stv Nyerere gari ni zuri ninakupongeza sana inaonesha umeamua kuchukua usafiri wa ukwe ,keep on
we binti interior?ulikuwa unamaanisha inside?nawaonea huruma
watuonyeshe nyumba zao na si magari yao ata kwa mkopo utapata
Post a Comment