Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SPECIAL BIRTHDAY GREETINGS TO MA ONE N ONLY DK

kuna watu watatu wakitoka ambao wameniweka hapa nilipo esp kwenye education sector jina la DK halitoachwa kabisa.
tarehe 24th ndio umezaliwa Happy belated day boo,
you turned my dreams into reality, im so proud to have you as a friend.

love you loads,thou we arent together at this moment to share this special day with you  but just know your so special to me.

take care

says
Christine Sintah


                             jm's lovely daughter

9 comments:

Anonymous said...

Friend wapi acha kudanganya huyo alikua bwana yako na sijuo ulitiwa na wangapi hadi kumaliza kusoma kwa sababu bila kukitoa hicho ungelipaje ada masikini mkubwa wewe na ukisha pewa ada unampa mdogo wako nae akatiwe apate ada .Nyie siwawezi kwakweri.

Anonymous said...

Sasa post umeiweka tarehe 23 Feb, birthday ni 24 Feb, inakuwaje unamu wish DK belated birthday tena jamani, Sinta nawe?

Anonymous said...

sio makosa yake! ukitiwa sana una loose memory! atuondolee uanaharasha wake huko!

Anonymous said...

we msichana una vituko sana

Anonymous said...

yaani we dada mshamba kwelikweli, hivi umesoma kweli kama unavyojitangazia? mbona huachani na ushamba? cheki wenzio kama wkina MA, MWA, KI nawengine wengi wakisema wamesoma inaeleweka lakini sio wewe, acha ushamba

Anonymous said...

Acha matusi wewe,ulimshikia miguuu!

Anonymous said...

Kaku heshimu sana,pamoja na matusi yote hayo bado comment yako kaitoa! Wakati mwingine wewe ndio unaonekana mjinga sasa!kwani kama alitiwa akapewa ada wewe kina kuuma nini? Acha wivu wa kipumbavu wewe!

Anonymous said...

tunataka picha za watu wengine siyo wewe mwenyewe mbona unapenda kuuza sura hivyo?????????????????

Anonymous said...

WATU WNA WIVU JAMANI MUACHENI SINTA HIVI KAMA UNAONA UNABOEKA KWA NINI USIACHE KUANGALIA HII BLOG? MWENZIO ANAINGIZA SIKU. MATUSI NINI HAYANA HESHIMA JAMANI HATUJAFUNDWA HIVYO. MKOME KABISA KUTUKANA HUMU.

HAPPY BIRTHDAY KWAKE DK

JOYCE ROWLAND