Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ZIMEBAKI SIKU CHACHE, PATA TICKET YAKO SASAhi,hi,hi,hi,hi,hi,hi,njooni muone j wake lo ndani ya cat walk.
nitawasubiri,halafu mkifika msicheke nikipita si unajua tena sijazoe ndo kwanza nakuwa trained katika fashion industry.
thanks to khadija Mwanamboka na Martin K kwa msaada wenu.


                                                             nilivyosimama unaoaje si
                                       naelekea,mmh watanikomaje
                                            LOL

6 comments:

Ruby said...

All the best mammy ...me like u long time.

Anonymous said...

sintah uko juu wangu

Anonymous said...

hongera mamy and keep it up.watasonyajeeeeeeeeeeeeeee!!!

jane bomba

Anonymous said...

miss andunje.com!

Anonymous said...

wee mtoto unaonekana mtamu sana, Dah..!

weprac said...

kama umebanwa na mkojo.baaaaaaaaaaaaaaaaad hicho kinguo sikipendi