Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWANINI MA SUPER STAR WENGI HAWADUMU KATIKA MAHUSIANO YAO

dada sintah mambo

mimi kila siku nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini baadhi na wengi wa ma super star wa bongo huwa hawaweki mahusiano yao wazi na mara nyingi sana huwa mahusiano yao hayadumu

naomba wadau mnisaidie sana maana masuper star ni kioo cha jamii tunajifunza nini kwenye hizi tabia na wakati sisi tunawapenda

wasaalam
Hilda

6 comments:

Anonymous said...

100% YA MASUPERSTAR WA KIKE BONGO WANATEMBEA NA WATU WAZIMA SIJUI NDO MIPEDESHEE KUWAWEKA WAZI NI NGUMU MNO NA HAITATOKEA.

WANAUME KWA UKICHECHE NDO USIONGEE JUU MADEMU WENGI SN WANAWAPAPATIKIA NA WAO HAWAFANYI AJIZI WOOOOOOOTE WANAOJILENGESHA WANAPEWA KITU JE WAPO WANGAPI??????? UNAFIKIRI ANAWEZA KUWEKA WAZI MPZ WAKE NANI?????

HII NDIYO INAYOPELEKEA MAHUSIANO YAO MENGI KUTOKUDUMU NA WAKATI MWINGINE INAWAHARIBIA KUMPATA BINTI MZURI WA HESHIMA AU MWANAUME MZURI WA HESHIMA NI NGUMU SN

Anonymous said...

WENGI SN SN SN NI VICHECHE WAKE KWA WAUME . WE USHAAMBIWA WENGINE WANATAKA KUTOKEA KWENYE MOVE ILI WAPATE MABWANA HAYA KUNA KUDUMU KWENYE MAHUSIANO HAPO???????WANATAKA MASIHSA YA KIFAHARI MNO MNO INAWAPELEKEA WENGINE WAO KUWA NA MAHUSIANO HATA NA WAZEE BORA TU APATE PESA

Anonymous said...

INASIKITISHA MI NALIA TU NA WANAWAKE WENZANGU WALAI WANATIA AIBU HAIFAI SINTA KM UTABANA BANA ILA INANIUMA YANI WENGINE WANABEHAVE KM MABAA MED YANI WANACHUKULIWA KIRAHISI RAHISI MNO.

Anonymous said...

we anon hapo juu. Hivi masupastaa bongo ni wa kwenye movie? unachekesha sana supa staa anayetengenezwa na gazeti la udaku? uchafu mtupu na kulewa sifa za kundikwa kwenye magazeti.

mleta swali, sio masupastaa peke yake kila mtu ni kutokana na uaminifu wake kwa mpenzi wke itasababisha mapenzi kudumu au hapana na jinsi wanavyoheshimiana, sasa kama wewe sio mwaminifu, haujiheshimu mapenzi yatadumuje? kutojiheshimu ni pamoja na kutafuta huo usupastaa mnaojipachika na kuutafuta kwa udi na uvumba, we fikiria mtu yuko mliman city kapigwa picha, yuko kwenye daladala picha, mara club kafotolewa mara katumiwa meseji ya kutongozwa mara kapiga picha na Diamond yaani huo ndio usupa staa wa Bongo... Masupa staa wa ukweli wametulia.

Anonymous said...

Masupar star wa bongo ni kina MANGE KIMAMBI, MWAMVITA MAKAMBA, HILDA RINGO na wengine wa kaliba yao ni watu responsible, mungu amewajaalia elimu, kazi nzuri au biashara wanazo, waume tena wazuri wanao, Mungu amewajaalia kila kitu amabcho mwanamke anaweza kutamani kuwa nacho sasa hawa ndio kioo cha jamii sio hao wengine hawana elimu kazi kuuza sura kwenye udaku tu. ulevi na umalaya wengine hat apa kukaa hawana sasa watakuaje super star jamani.

Anonymous said...

yani sijui kwanini jlo huwa hamdumu yaani.