Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SO FAR SO GOOD

napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa Tasisi,wabunge, na mawaziri mnaomsaidia dorah kwa sasa .

kwani naamini kabisa mmeguswa sana na kitendo alichofanyiwa binti yetu wa miaka minne.

pia ningependa kutoa shukurani zangu za dhati, kwa wale wachangiaji wa madaa hii wengine hawakupenda comment zao ziende hewani ila walinielezea wapi dorah anaweza pata msaada.

kwa wale mliopiga simu na mengineyo, ahsateni kwani leo ni kwa dorah kesho ni kwako nasi tutakuwa sambamba nawe ukituletea habari ili wengine wakusaidie.

kumbuka sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja bila kujali itikadi zozote.

Mungu awe nanyi,na nitaendelea kuwaeleza, nini kinachoendelea katika kesi ya ubakaji wa mtoto wa miaka minne inayomkabili kijana anayeendesha bajaji.


thanks
sintah                                                           there is only known Sintah in Tz

6 comments:

Anonymous said...

jamani thanx kwa kushughulikia hilo, mamy upo juu kijigauni kimekupendeza sn.

Anonymous said...

MAMII MAMBO KAZI YAKO NI NZURI LAKINI UWE UNAANGALIA UNAVYOANDIKA UNARUKA MANENO, KWA MFANO I QUOTE "THERE IS ONLY KNOWN SINTAH IN TZ" ULIMAANISHA NINI SASA?

Anonymous said...

sinta unapotoa pongezi hakikisha kwamba kama umeamua kutaja watu waliosaidia basi uwataje wote kama vipi toa shukrani ya jumla,we umeona wabunge na mawaziri na taasisi tu!mimi binafsi pia nimechangia.ni hilo tu!

Anonymous said...

huo ujumbe wa picha unaendana na hayo maneno ya chini uliyoandika? Hongera nawe sikuhizi ni mwanaharakati!

Anonymous said...

yani we ndo bichwa box kbs
huna unalojua zaidi ya kuuza sura ya kizee''

Anonymous said...

Naona kama Sinta ameanza kupunguza Mkorogo.