Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com
Dada Sintah,utusaidie  tena  kuweka  tangazo  letu  kwenye  blogu  yako.
Tatanguliza  shukurani  zETu  za  dhati  kwako. Asante  na  siku
njema.


SLIMMING  JUICY   YA  KUKATA  TUMBO (  KITAMBI  ).
NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  ni  wauzaji  wa  dawa
 safi  za  asili  za  kutibu  magonjwa  mbalimbali. Tunapenda
kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  sasa    tunayo  dawa  nyingine  safi
 sana  ya  kutibu  tatizo  la  kitambi.  Ni  dawa  ya  asili (  iko
processed ), ipo  katika  liquid  form, ina ladha  nzuri   na  inakata
 tumbo (  kitambi  )  ndani  ya  siku  thelathini. Ipo  katika  ujazo
mkubwa, unaweza kuendelea  kuitumia  hata  mara  baada  ya  muda  wa
dozi  kuisha, pia  dawa  hii   haina  effect  ya kukufanya  uende
chooni  mara  kwa  mara. Imewasaidia  watu  wengi  na  imethibitishwa
kwa  matumizi  ya  binadamu.
Ewe  kaka, ewe  dada, usiendelee  kuadhirika  na  huo  ugonjwa  wa
kitambi  unao  kusumbua, wakati  tiba   yake  ipo. Wasiliana  nasi
kwa  simu

0767010756 AU 0753644583 AU 0657743183 AU 0682862744  .

3 comments:

Anonymous said...

Hata mimi nimeguswa sana na stori hii, japo uwezo wangu ni kidogo but nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kusaidia chochote nilicho nacho. Hongera sana Sintah kwa kupost taarifa hii. Mungu akubariki sana.

Anonymous said...

Neema herbalist mnajitangaza sana hadi tunaanza kuwa na doubt....kumbukeni KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE...mnachosha kila blog mpo same story

Anonymous said...

mna cheti cha TFDA?