Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

RED RIBBON FASHIONS GALA 2011 AT DOUBLE TREE HILTON

jlo na Martin
toto za prezidaaa ziliwasili

wifi yangu Alma
jacky jacky
faraja
mo na ps blogs
mwenye shughuli
J na crew yake
warembo wa mujinii
mc na jlo
jlo na Flavvy
familia ya Mzirai iliweka pose
meza yangu ndio hii
vijana wakiingia kibawizoo
wifi yangu mie huyu
a moment of silence
                               meza yangu na members


congratulations sisy Khadija,mim penda wewe sana,una moyo wa upendo mpaka ukafanya hii fundraising,Mungu amekubariki na huo moyo na atakubariki na mengine love,we had fun,tuombe Mungu tufike next year for another one lol(Inshallah)

12 comments:

magie hanlon said...

mlifunika sintah na crew yako

Anonymous said...

asante dada sintah kwa picha picha ni nzuri sana zimependeza sana mimi niko out to topick kidogo nilikuwa nauliza hivi mbona siku hizi simwooni dada fideline iranga yule dada anashughulika na mambo ya modaling?nauliza tu kwa uzuri dada maana yule dada nilikuwa nampenda sana yaani amepotea bila ya maelezo na hakuna mtu anataka kumzungumzia kabisa sijuii hata ni kwa nini kama ni mzima ni vizuri tunamoombea heri

Halima said...

U look gud Pretty JLO! endelea ku enjoy!

Anonymous said...

To be honestly, nakupenda sana ila jina la JLO halikupendezi bora uendelee na hilo Sintah or pretty sintah whatever linafit, by Joseph

juliana deus said...

co cri kwa ujumla mlipendeza sana

Anonymous said...

jlo jlo jlo ndio nn sasa jlo bongo ww tumia sintah tu linakutosha mwanamke huelewi ww puuuuuu

sophy said...

sintah sio siri unapendeza sana siku hizi yaani mpka nashindwa elezea.

Anonymous said...

yani sinta ulipendeza hadi raha,but unaniuzi kitu kimoja,kwa nini hupendi kuvaa heels?maana huwa nakuchunguza sana miguuni but sioni heels.

Anonymous said...

ukivaa kiatu kilefu huwa nakuona unatoka bomba sana.but all in all ulipendeza sana.

jane bomba

cute said...

dedha wewe jamani pendeza sna

Anonymous said...

YAA...NAKUPENDA TOKA NIPO MDOGO....PLZ JINA JLO HALIPENDEZ,,,B UR SELF BANA......MBONA SINTA NI JINA ZUUUUUUURIIIIII

Anonymous said...

Mimi pia sio siri mimi nimdau wako sana ila jina JLO sijalipenda SINTAH zuri tena sana yani linakupendeza hadi raha, all in all mlipendeza sana BIG UP.