Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

HII ILIKUWA WEDDING JAMANI PS BLOG ILIKUWEPO MWANZO MWISHO


coral beach

wageni waalikwauncle and daughtersuper models


j wake lo na crew
vichuna

tukishuhudia ndoa ikifungwa

Tiff akiapa

my gal nae akiapa


declared husband and wife


tulibadisha nguo Kempiski


dogo na bro


kama kawaida hukosei mama


mama Red Ribbon,Sabaha na FM Express
cakeeeeeeeeeeeeee


hapo chachaaa


uwii vijana walitoka


table yangunitawaachaje mashosti


tunakushuru sana Jackie na mumeo kwa kutualika crew nzima ya Mauaz wedding show pamoja na PS blog,maana tulikuwa na wewe sambamba from coral beach kwenye ndoa mpaka Kempiski ambapo reception took place,
i know kuna thx giving coming na PS blog kama kawa imepata mualiko


ADVICE

mammy kuna wengi wanaongea sana but take easy maana rumours are spreaded by heaters
na ukiona wanakuongelea ujue wanakupenda
your wedding ilikuwa moja ya harusi kubwa ya kufunga mwaka

on behalf of PS blog tunakutakia maisha mema ya ndoa
luv u mob gf
cant wait for saturday

19 comments:

Anonymous said...

Mtaishia kusindikiza wenzenu tu kuolewa na wewe yako lini? kila kukicha mnasindikiza wenzenu.

Anonymous said...

Sio Kempiski ni KEMPINSKI kuna N najua utasema ni typo but watu wengi sana wanasema Kempiski for some odd reason.

Anonymous said...

hongera Jack umependeza nakutakia maisha mema ya ndoa.

Anonymous said...

Sintah nunua camera nyingine au nunua lens nyingine mama picha zako hazina mvuto poor quality!!!

Anonymous said...

Hii ndo ile wedding ya beach baby mbona duh!!! ngoja tu niishie hapo. My dear Sintah mbona huku sijakuona kivileee umetubania picha zako kwenye red carpet kwanini??? plssss wekaaa tukuone bana aghhhhh.

Anonymous said...

wewe songoro mapipa mbona haujatualika haqta sisi mama zako

Anonymous said...

heaters???? check it out

Anonymous said...

we nawe mashauzi mpaka waboa alikuomba umpe ushauri ovyoooooooooooooo

golety said...

inaonyesha ilikuwa nzuri sana kila la kheri kwao nawatakia maisha mema

Anonymous said...

mumy ya kwako lini? nauliza tu

Anonymous said...

Harusi nzr mumependeza sana sasa kuna blog nimeona wote single lady ukiwemo wewe nifahamishe ni kweli

kayla said...

mashauz dot com umeimprove sana kwenye ku upload na kupanga pics zako,hongera my girl ila punguza mashauz yasiyo na msingi,iendeshe blog yako kisomi zaid kama ww ni msomi kama unavyodai,kuweka vijembe sio mpango!kuwa cool na tumia maneno ya busara na sikiliza ushauri,anaekwambia ukweli aqnakupenda!otherwise mmependeza!

Anonymous said...

Hongera sana Jack, mimi sikufahamu ila nashukuru Blogs mbali mbali zimefanya wengine tukufahamu. Nakupongeza sana tena sana wewe ni mwanamke mfano wa kuigwa, hauringi, hauna haja ya kupublish mambo yako lakini unaonekana kabisa ni binti ambaye uko juu sana. Wengine wakipata kitu kidogo tu wanataka dunia nzima ielewe kuwa wao ni akina nani, nimejaribu ku google na nimepata details zako nyingi sana hongera saana na Mungu wa mbinguni akuzidishie

Anonymous said...

Wapi Sintah jamani, wanaoongea jamani si ni kawaida tu kwenye kila tukio sasa mpk muanze kuwaza waio wahusu waache waongee na ya kwao tuione. Huyu mtt ni mkali mno kwanza hana mashauzi, ni mzuri, umbo lake linatisha, maisha anayoisha ni ya hali ya juu ambapo wenzangu na mimi waliokimbia shule na kukimbilia bongo movie hawawezi hata robo kumfikia, sasa hivi wanabaki tu ohoo sijui imekuwa hivi ikawa vile mtajicarry, roho zinawaumaje? uwiiii hongera Jack.

Anonymous said...

Wedding hii imesimama kwakweli, bride looks fab

Anonymous said...

mashauzi .com umeombwa ushauri toa sifa ambaa ooh my girl my girl my foot una mygirl wangapi tutolee kimeo hoko kila mzuri your girl

dinah said...

kuna watu bila kuongea hawaoni raha yani wanawake hatupendani sasa bongo movie imeingiaje hapa wewe uliyesoma una nini cha maana fuuuuuuuuuuc...... u

Anonymous said...

Jamani nisaidieni.....kwani huyu Jack ni nani?

Anonymous said...

Jack ni Model ww Anony wa Date 12,2011 4:42PM, kina dada mmoja akijijaza mashangashanga kama mganga wa kienyeji vile.