Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

RED RIBBON FASHION GALA 2011 TICKET ZIMEISHA

As im getting ready for event of the year, ticket zimeisha,so dont ask for tickets anymore,
Mungu bariki watu wote ambao wamefiwa na ndugu zao na janga hili la ukimwi,na dada khadija Mungu akubariki maana umefikiria kitu kama hiki (fundraising)kwa ajili ya victims.

Mungu bariki Tanzania,Mungu bariki Africa na watu wake

Aids its real,be protected

                                                             jlo Tz

12 comments:

Anonymous said...

Una hamu ya kuvaa shela eeeh, utavaa tu siku moja CHRISTINA, tena hiyo hiyo uliyojaribisha wedding bellz kwa doreen ndo nzuri.

Anonymous said...

umependenza sana ilikuwa siku ya harusi yako au

Anonymous said...

Mwenzetu vip kutuvalia shela unaolewa!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Amen, good words girl. Na ninatamani kweli kila kukicha uwe na busara kama hiyo na Mungu atakuzidishie na kukubariki na zaidi sana atakupa watu wengi wanaoipenda blog yako. Mungu akubariki mdogo wangu na akuzidishie hekima na busara.

Anonymous said...

Sintah umependeza sana na hiyo weddig gown na sijui siku ya harusi yako itakuwaje hiyo ROYAL WEDDING. uzuri wa mwanamke unachangiwa na tabia, hekima ,busara ukiongezea na uzuri wako kwa kweli ninaamini muda si mrefu utaanza kung'aa sana nje na ndani ya Africa cha muhimu kumbuka kuwa humble kwa kila mtu hata kama wanakuonea wivu wanakuchukia wewe kuwa humble na upendo.

Anonymous said...

sasa nini hicho pichani

Anonymous said...

JLO FAKE

Anonymous said...

Sintah ulishaolewaga au ndio unatamani?

Anonymous said...

Umependeza na shela lako.

Anonymous said...

UNATAMANI MWENYEWE, UTAOLEWA TU USIJALI... TUONE ROYAL WEDDING YAKO.....LOL

Anonymous said...

hehehehe umebania comment yangu unalo ila umeisoma kimya kimya lol

Anonymous said...

JLO fakeeeeeee, hujaqualify kuitwa JLO fala we!!! lol, nakumbuka enzi zile ulivyokua mshamba KAOLE....hahahahaha,eti JLO, J'lo my assss!!!