ungeshonewa ngua kama mastaa wengine basi, ukiangalia nguo yako tofauti saaana na za wenzako, umependeza ila ni kati ya wamwisho, inaonekana kabisa mshono wa kariakoo
hahahahahha jamni mie najichekea tu hapa watu mnavijembe
alafu sinta ushaanza kubania comments unajua usipobania comments pananoga sana zamani ulopofungua blog ilikuwa full macomets now naona unaweka comments 3 au 2 inamaana zingine unazibania eeeh wewe weka tu
alafu huna lolote unajipendekeza kwa mange na mange anajipendekeza kwako hamna lolote wote washamba tu nyie na hio nguo wala haijakupendeza kabisa umeona soooo cheap
7 comments:
we mwanamke unaonekana mshamba kwel hlf limbuken...ss mpk useme mambo ya bbm asiyeijua nan...na ole wako ubanie hii comment...sms sent
tena mshamba kwelikweli na kujipendekeza sasa ungejua twakuangaliaga tu!bbm ndo unaijua leo tena sim yenyewe secondhand fuuuuuuuuuuuu
Vituko vya mastaa!!!give me a break....
ungeshonewa ngua kama mastaa wengine basi, ukiangalia nguo yako tofauti saaana na za wenzako, umependeza ila ni kati ya wamwisho, inaonekana kabisa mshono wa kariakoo
kumbe nawewe ni staa.uwiiiiiii
hahahahahha jamni mie najichekea tu hapa watu mnavijembe
alafu sinta ushaanza kubania comments unajua usipobania comments pananoga sana zamani ulopofungua blog ilikuwa full macomets now naona unaweka comments 3 au 2 inamaana zingine unazibania eeeh wewe weka tu
alafu huna lolote unajipendekeza kwa mange na mange anajipendekeza kwako hamna lolote wote washamba tu nyie na hio nguo wala haijakupendeza kabisa umeona soooo cheap
hahahaha mlocoment haapo ju ya ol funny n hateeeers coz kama hamumkubali mnafata nini kwenye blog yake si
go gurlllll u gud ila 1 thing 4 sure hilo gauni is so nooooooooot ila mwenyewe mama u so hooooooot
Post a Comment