Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KIBAO KATA CHA MAIMARTHA NYUMBANI KWAKE NAMANGA

                                                           somo akimwingiza mwali wake

mwanamke kujifunika bibi wee

swagalicious za j wake lo
ladies
mama wa usuluhisho na mwali
seduction na sintalicious
Mc na haya mambo loo
twanga pepeta team na mai
ladies
                                             na mimi nami jamani duu

20 comments:

Anonymous said...

Sintah tuwekee kitchen party ya sauda mwilima tunahitaji kuona uhondo

Anonymous said...

Sintalishaz..umevaa white musk usoni hadi shingoni? toooooooooooooooo muuuuchhh makeup..UNABOJE. Sonya kimya kimya

Anonymous said...

we nawe karibia picha zote upo ww jamani kwani hakuna watu wengine huko wa kutuonesha loool! by de way mai alipendeza sanaaa.

Anonymous said...

Basi mi najuaga Kibao kata wanafanyiwa waislamu tu! Halafu labda mnifahamishe maana yake ni nini? Ni kama Kitchen Party au! maana mi sijui! Nijuzeni ndugu zangu.

Anonymous said...

sa jmn mbna umetuwekea pic chache?ilikuwa pouwa kbsa

rk said...

umetishajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sintah wewe ni mzuri sana tena sana luv gogogogo darling

Anonymous said...

mhhhh jmn hv huna mshahuri bidada hyo makeup ya uso na wewe vitu viwili tofauti kama niumevaa kinyago uson kiufup hujapendeza nikama sauda alivyokuwa zaman lol

Anonymous said...

umevaa nini uson usomeki au ndyo umevaa sura ya mzungu na shingo yake uwii mbavu zng mie

Anonymous said...

nguo zenu zimewatoa sana ila 'JLO' na Mai mmezidisha make up mpaka mnatia kinyaa!

Anonymous said...

Wote mmependeza. Tuwekee picha za kitchen party ya sauda mwilima

Anonymous said...

mkorogo umezidi eti jlo ovyoooo

Anonymous said...

mmependezaaaa sana jamani sijui na uzuri au ndo still picha na mnato

Anonymous said...

ehehe eti nami nami umenifurahisha na unanifurahishagaje Sinta?? juu msanii wa maigizo kutoa dadangu Kemmy ninakukubalije mwenzio. full mzuka
Cymah

Anonymous said...

yaaaan we sintah mamaa u-turn ujampata usijifananishe naye kabisaaaaa kwan ww bado mchafu utakati pia

Anonymous said...

umevaa plastic usoni

Anonymous said...

jamani msijichubue. think about ur skin people.

Anonymous said...

kibao kata wanafanyiwa waisilamu umeona wapi kimeandikwa kwenye Quraan?

Anonymous said...

yan umefanana na michael jackson mdogo wake nini hahah na hyo miguu kama banio chacha me hoiiiiiiiiii

Anonymous said...

Mai kanoga sana na iyo rang! Lakin pic chache alafu nying ni wee tu kwanini? Wadau waliochangia mmenifurahisha kwakweli

Anonymous said...

hapana jamani hivi siku hizi watu wote naona weupe! jamani mkorogo, mkorogo, mkorogo mtakuja umbuka siku moja sipati picha!! yaani mtu mpaka hupendezi tena yaani nikifikiria Mai na sinta walivyokuwa zamani leo weupeeeeeeeee duh hii kali! dunia ina mambo