tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post5961173923673163496..comments2023-11-02T19:43:12.361+03:00Comments on Sintah.Com: KIBAO KATA CHA MAIMARTHA NYUMBANI KWAKE NAMANGASintahhttp://www.blogger.com/profile/16410396527913132583noreply@blogger.comBlogger20125tag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-4570761987669128662012-01-06T14:57:18.857+03:002012-01-06T14:57:18.857+03:00hapana jamani hivi siku hizi watu wote naona weupe...hapana jamani hivi siku hizi watu wote naona weupe! jamani mkorogo, mkorogo, mkorogo mtakuja umbuka siku moja sipati picha!! yaani mtu mpaka hupendezi tena yaani nikifikiria Mai na sinta walivyokuwa zamani leo weupeeeeeeeee duh hii kali! dunia ina mamboAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-11119540982222273742012-01-06T01:29:01.503+03:002012-01-06T01:29:01.503+03:00Mai kanoga sana na iyo rang! Lakin pic chache alaf...Mai kanoga sana na iyo rang! Lakin pic chache alafu nying ni wee tu kwanini? Wadau waliochangia mmenifurahisha kwakweliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-19631820192379837152012-01-04T11:28:29.332+03:002012-01-04T11:28:29.332+03:00yan umefanana na michael jackson mdogo wake nini h...yan umefanana na michael jackson mdogo wake nini hahah na hyo miguu kama banio chacha me hoiiiiiiiiiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-41229181898058714982012-01-01T02:03:39.281+03:002012-01-01T02:03:39.281+03:00kibao kata wanafanyiwa waisilamu umeona wapi kimea...kibao kata wanafanyiwa waisilamu umeona wapi kimeandikwa kwenye Quraan?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-69316358843809785112011-12-31T22:28:42.212+03:002011-12-31T22:28:42.212+03:00jamani msijichubue. think about ur skin people.jamani msijichubue. think about ur skin people.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-83437996589699019482011-12-31T18:51:47.432+03:002011-12-31T18:51:47.432+03:00umevaa plastic usoniumevaa plastic usoniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-29327424139350652072011-12-29T14:21:26.234+03:002011-12-29T14:21:26.234+03:00yaaaan we sintah mamaa u-turn ujampata usijifanan...yaaaan we sintah mamaa u-turn ujampata usijifananishe naye kabisaaaaa kwan ww bado mchafu utakati piaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-86879045341001680522011-12-28T23:32:17.747+03:002011-12-28T23:32:17.747+03:00ehehe eti nami nami umenifurahisha na unanifurahis...ehehe eti nami nami umenifurahisha na unanifurahishagaje Sinta?? juu msanii wa maigizo kutoa dadangu Kemmy ninakukubalije mwenzio. full mzuka<br />CymahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-42187382571636249912011-12-28T10:36:43.590+03:002011-12-28T10:36:43.590+03:00mmependezaaaa sana jamani sijui na uzuri au ndo st...mmependezaaaa sana jamani sijui na uzuri au ndo still picha na mnatoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-56308194102017503052011-12-28T10:29:20.864+03:002011-12-28T10:29:20.864+03:00mkorogo umezidi eti jlo ovyoooomkorogo umezidi eti jlo ovyooooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-37060543233917291732011-12-28T08:58:52.199+03:002011-12-28T08:58:52.199+03:00Wote mmependeza. Tuwekee picha za kitchen party ya...Wote mmependeza. Tuwekee picha za kitchen party ya sauda mwilimaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-72768466990244550402011-12-28T07:43:08.507+03:002011-12-28T07:43:08.507+03:00nguo zenu zimewatoa sana ila 'JLO' na Mai ...nguo zenu zimewatoa sana ila 'JLO' na Mai mmezidisha make up mpaka mnatia kinyaa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-81269479105637557162011-12-27T23:14:34.449+03:002011-12-27T23:14:34.449+03:00umevaa nini uson usomeki au ndyo umevaa sura ya mz...umevaa nini uson usomeki au ndyo umevaa sura ya mzungu na shingo yake uwii mbavu zng mieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-26948610572610209942011-12-27T23:12:07.252+03:002011-12-27T23:12:07.252+03:00mhhhh jmn hv huna mshahuri bidada hyo makeup ya us...mhhhh jmn hv huna mshahuri bidada hyo makeup ya uso na wewe vitu viwili tofauti kama niumevaa kinyago uson kiufup hujapendeza nikama sauda alivyokuwa zaman lolAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-16015439567335990302011-12-27T22:26:08.355+03:002011-12-27T22:26:08.355+03:00umetishajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sintah wewe ni...umetishajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sintah wewe ni mzuri sana tena sana luv gogogogo darlingrknoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-26233304516698881862011-12-27T17:56:29.996+03:002011-12-27T17:56:29.996+03:00sa jmn mbna umetuwekea pic chache?ilikuwa pouwa kb...sa jmn mbna umetuwekea pic chache?ilikuwa pouwa kbsaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-25130014248121797232011-12-27T15:19:58.262+03:002011-12-27T15:19:58.262+03:00Basi mi najuaga Kibao kata wanafanyiwa waislamu tu...Basi mi najuaga Kibao kata wanafanyiwa waislamu tu! Halafu labda mnifahamishe maana yake ni nini? Ni kama Kitchen Party au! maana mi sijui! Nijuzeni ndugu zangu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-54177890412838979252011-12-27T13:39:11.015+03:002011-12-27T13:39:11.015+03:00we nawe karibia picha zote upo ww jamani kwani hak...we nawe karibia picha zote upo ww jamani kwani hakuna watu wengine huko wa kutuonesha loool! by de way mai alipendeza sanaaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-20610443044693265542011-12-27T10:49:16.037+03:002011-12-27T10:49:16.037+03:00Sintalishaz..umevaa white musk usoni hadi shingoni...Sintalishaz..umevaa white musk usoni hadi shingoni? toooooooooooooooo muuuuchhh makeup..UNABOJE. Sonya kimya kimyaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3408363886726660175.post-79910180234365885402011-12-27T09:22:42.516+03:002011-12-27T09:22:42.516+03:00Sintah tuwekee kitchen party ya sauda mwilima tuna...Sintah tuwekee kitchen party ya sauda mwilima tunahitaji kuona uhondoAnonymousnoreply@blogger.com