Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SIELEWI KWANINI WA TZ TUKO NYUMA

Kabla hajaondoka sintah alifanya research hii,
siku moja wakati nipo na my close friends wakenya nilishangaa sana pale waliponiambia Tv/Radio presenters wao wanalipwa sana,nikajiuliza kwanini sio Tz?kabla hawajaniambia the amount wanaolipwa nilifikiri ni mil 5 za Tz labda  au 6 kumbe ni beyond my expectation
im very sure hakuna mtangazaji anaelipwa mil 5 Tanzania lakini kwa Kenya imevunja rekodi
sikia hii sasa;

Catherine Kasavuri ni mtangazaji wa Tv Kenya na analipwa mil 36,000 za Tanzania  per month na bado hapo tangazo lolote likiingia wakati anasoma taarifa ya habari anapata 20%
Catherine Kasavuri


                    Caroline Mutoke

Caroline Mutoke ni mtangazaji wa Kiss Fm Nai na analipwa mil 34 za ki Tanzania

 I do the seek and you do the judge

kazi kwako sasa kujiongeza na Tz yako

15 comments:

Anonymous said...

Tuambie watz wanapata kiasi gani tulinganishe.Na we ulifukuzwa ile Radio ulipewa haki yako?

Anonymous said...

Sita si kweli naomba ufanye research vizuri mama

Anonymous said...

Mmmmh!huu mi uongo,nawasiwasi na hiyo reseach

IT said...

kama unaona yeye muongo kwalipi?kwani wanamuongezea nini au wanamjua hata huyo sintah yeye kaambiwa naakapiga cm nairobi hwezi kukurupuka'

'jua kwamba hela ya kenya ina value sasa kama analipwa mil 2 za kenya zidisha mara 18 utapata amount ya tzs
hawezi kukurupuka wewe hapo usiejua hesabu na different contries money value ndo unakurupuka
think before comment

Anonymous said...

wewe IT sijui nani ndo you should get your facts straight, mil 36,000 za kitanzania?per month?do u even know how much money that is?nyoooooooo,that's is roughly 20,000usd/month..aaah wapi

IT said...

WEWE SI UNA AKILI KUSHINDA SISI?NENDA KAFANYE RESEARCH YAKO HATUKURUPUKI TUKIWEKA KITU KATIKA BLOG WANALIPWA ABOVE 2MIL KSHS SASA NENDA BUREAU DE CHANGE KA CALCULATE

IT said...

na ndo maana tukaandika majina otherwise tungesema watangazaji wote wa kenya lakini tumewataja hao kuwa wanalipwa zaidi sana nchini Kenya

Anonymous said...

Ntafuatilia ukweli wa hii news; nna washkaji wakenya kibao. Ila naona ni uongo maana maisha ya watangazaji kama yule aliyekuja kushtakiwa huku The Hague mbona ni choka mbaya na ni mtangazaji mwenye jina kubwa saana. Na kama ni kweli mbona wanaenda fanya kazi BBC ambako mshahara haufiki huo.

Usikubali kupigwa fix kirahisi Sinta

Anonymous said...

We IT wa ajabu,usibanie comments weka zote,unadhani kubania na kujifanya unajua kila kitu ndio utachangamsha blog,hapo unaua blog dear
Ngoja nihame zangu huku hakuna maana.
Nimekuwekea comments za kwamba huyo catherine ni manager pia sio broadcaster peke yake umejifaanyaa kuziweka kapuni
Hufai

Ald said...

mi kila siku nasemaga hii blog inaendeshwa na watu wasiosoma, na wasiopenda kushindwa, ijapokuwa hawajui kitu.Mimi nina consultancy firm ya recruitmment Kenya! i do alot of job interviews, including za watangazaji. and i have salary scales za organisations kibao, including TV stations! Huo ni uongo mkubwa! Mshahara wa kawaida kwa watu wenye masters degree ni around Kshs 300,000, ambayo ni sawa na us$ 3000 kwa mwezi. na wewe ur talking about $20,000 kwa mwezi?Kwa hela hiyo kenya, mtu angeweza kununua nyumba 1 nzuri kila baada ya miezi mi-2. ukweli uu wapi? Kwa nini hii mnafanya blog ya kupotosha na si kuelimisha? Kwani lazima mtoe posts kila siku?Najua utaibana hii kwa vile inasema ukweli, lakini kama wewe ni mwerevu, na unayependa kukosolewa, utaitoa watu waisome.

Anonymous said...

Lakini ni ukwelii watangazaji wa kenya wanalipwa vizuri, its possible isifike huko lakini mie najua inazidi milioni kumi, na angalia ata mavazi yao, wanavaa kuzidi wa kwetuu

Anonymous said...

Kw kwi kwiiiii yaani mtu unamvalue kwa nguo anazo vaa weeee.Hata kama wanalipwa sana au kidogo siyo sababu ya kuvaa vizuri.

Anonymous said...

nakubaliana Anony wa Date: November 22,2011 20:45AM, your correct my dear huo ni uongo mkumbwa sana.

Anonymous said...

Mhh Shutu kazi kwenu wasomi kukosoana

Anonymous said...

Hi am a Kenyan na ni kweli catherine Kasavuli na Caroline Mutoko wanalipwa vizuri.they are at the top of the game thats why they get that.@Ald stop misleading look at their lifestyles could they afford it if they were getting peanuts? wacha blog iendelee i like it Sinta.