Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KWA NIABA YA JLO TANZANIA

hallow PS wadau
dada sintah amesafiri kwenda kwenye mkutano wa United Nations mission in Darfur
na mpaka sasa hajafika the ist destination ambayo atakaa siku mbili kwa ajili ya semina,akitoka huko ataelekea Adiss Ababa kwenye Head Quarter za AU

kibaya zaidi wamekatazwa kutumia bbm,internet wakiwa katika mikutano
na kama mnavyomjua hana amani kabisa huko alipo atatumia satelite phones kupigia baadhi ya watu wake wa karibu
'tunamtakia kila la kheri na Mungu amsaidie awakilishe vyema nafasi yake hio
jlo wewe ni UNSTOPPABLE
ila ameniomba nimsaidie ku apload vitu atakavyoniambia nifanye akiwa hayupo
najua mnamiss sana ila akirudi atawaonyesha makeke yake again

IT Dept  PS blog

15 comments:

Anonymous said...

We miss her big! kila siku nachungulia kuona kama ameweka post mpya! haya Mungu ampe safari njema na amrudishe salama atuletee updates!! Luiza

mama K said...

Heee jlo wewe ni mkaree kuna msanii gani hapa bongo amepata mualiko kama huo acha tuu mammy kumbe saa ingine unahitajika sehemu nyeti Mungu awe nawe na imani utafika unapotaka

Rose said...

congratulations gal

Anonymous said...

Cngrts bidada watanunaje!

Anonymous said...

Tuwekee na picha ama picha hawaruhusu kupiga

Anonymous said...

kwanza congrt...jmn kwann mtu asilipaishe jina lake na mpka hatumie jina la mwenzakeeeeeeeeee???????????tuwe watu wa kufikiri JLO lile ni jina lake halisi hamelikuza mpka limempa umaharu bs nae halikuze ilo lake ila ni maon tu.

Anonymous said...

Unapata mialiko mikubwa kama hiyo,halafu unajishusha kwa kujiita JLO?Fikiria kwa makini.

Anonymous said...

Wewe ni mwongo, mbona nimekuona kwenye party ya Jackline Patrik??

Anonymous said...

HONGERA SANA SINTAH.

IT said...

wewe unaesema sintah muongo unabisha niin sasa kwani hawezi kusafiri siku inayofuata?
amesafiri jumamosi saa kumi na dk 55 na hawezi kupiga picha ya aina yoyote maana kule wapo ma diplomats tuu sasa aonekane yupo busy na camera watamounaje,hata hivyo cable ya camera kaisahau dar

Anonymous said...

Mmmmmmh!

Anonymous said...

"cable ya camera kaisahau dar" mmh unprofesheno kabisa.

Anonymous said...

mh, kwani bridal shower ya Jack ilikua lini?hapa kuna ulakini apa!

wazim mtupu said...

mnh! haiingii akilin kabsaa yaan ni mashauzi.com mfyuuuuuuuuuuuuuu......

Anonymous said...

Unajiandikia mwenyewe si mbaya weka hata picha za airport. kumuondoa mtu ushamba ni kazi sana