Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DIVA AND MAMA KIBUNJU MA FASHONISTAAAZ WANAKUJA KUWASHIKA


kwa wale mnaojua swagga na kuvaa town these two ladies sio wageni machoni kwenu uwwwwi they have new stuff on the way wanarudi kutoka barani ulaya na contena limefika sasa fika madukani kwao Diva collection na mama Kibunju  fashions muone vitu vya uhakika
aluuuu haya ni mambo ya bbm walinitumia, they are not yet here but comin soon,unfortunately they missed their flight today
gals cant wait to c u
coz you have to pamper your gal j.lo

7 comments:

Anonymous said...

Yesssssssssssss, hapo saafi sana Sintalicious haya tujuze wako maeneo gani kibbiashara au wanapatikana wapi ili tuweze kuwafikia mapema. Kuvaa kuzuri jamani haswa uwe umetengeneza body yako vizuri

Anonymous said...

wanapatikana maeneo gani dada sintah?

Anonymous said...

nyokoooo wameenda kuchukua malonya yaliobakia baada ya summer kuishia watu walionje hua wanatupa nguo sababu msimu wa kuzivaa umeisha na unakuta ni SALE YA NGUVU.......

Anonymous said...

POA TU HAYO HAYO MALONYA SISI TUNAYATAKA, USITUAHARIBIE HALI YA HEWA SISI. JANE WA L

Anonymous said...

Wezi wa waume za watu dar nzima tafuteni wa kwenu malaya nyie

Anonymous said...

wewe acha ushamba ingia soma maarifa ya jamii hao madada wanatoa vitu china china ulaya ebo we vipi???

Anonymous said...

we vipi unajiita jlo wa tz nyooooo. mwenyewe akikusikian atakupandisha kwa kutumia jinaq hata mfanani kwa chochote kile. si utafute jina lako tu mpaka la mwenzio?