Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

GYM GYM GYM

10 comments:

Anonymous said...

go girl hapa sasa umeongea na ukija kuvaa tena nguo ya kubana au kushika mweili kila m2 atasema naaaaaaaaaaaaaaaam thats JLO

Anonymous said...

miss mashauzi.

mama sammie said...

thats my sis, i wish i could join you bt itakuwa mbali sana....love u! its mama sammie.

Anonymous said...

Hapo saafi rafiki yangu, sipati picha baada ya mwezi utakuwaje mbona utanoga saaana. sisi wenyewe tumeshaanza kukubali ila tu usiweke yale maneno fulani kama vile unamsema mtu uwe tu postive kwenye blog yako bila kuponda. Utaenda mbali saana.

senora lavita said...

umejitahidi badilisha mikoba basi mama tuumeichoka plus aina ya miwani....

Anonymous said...

Kudos SIntha. Huwa si comment ila nilishaona kuwa kidogo weight inataka kukuangusha. Keep it up. Mazoezi ndo mpango mzima.

Twende kwenye umbea sasa "Naona kama umevaa pete vile" Who is the lucky guy???

Anonymous said...

heeeeeeee makubwa so unataka abebe mkoba mmoja?chuki nyingine za kijingaaaaaaa

Anonymous said...

Jamani siyo mashauzi mbona watu mnakuwa na roho mbaya pamoja na chuki?????? Tumemshauri wenyewe na kwa kweli ni dada anayependa ushauri wa watu sasa kaanza mazoezi mnamuita tena miss mashauzi. Dada kazana tuko nyuma yako

Anonymous said...

Kumbe ukiwa hujapaka mavitu huko usoni unarangi nzuri, bora ubaki hivyo hivyo

Anonymous said...

ukipungua utapendeza hadi raha.go on JLO

jane bomba