Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

DIET IMEPAMBA MOTO

diet imepamba moto,yaani sasa mlo wangu ni samaki na kuku,na samaki kwa sana na awe grilled, me and my lovely friends tulienda kawe club kupata kitu fresh lakini hatukuondoka hivi hivi wakijua napenda samaki na diet yangu inaruhusu nile,
hakuna mlo mzuri wa diet jamani kama samaki

6 comments:

juliana deus said...

mimi uyo samaki tu hapo juu mhh amenitamanisha ile mbaya mhhh mi naona nikila ivo mwezi cjui nitanenepa mana mhhh

Anonymous said...

mh Diet ya Ugali na Samaki.... hongera!

Anonymous said...

mboni hapo unaonekana unakula ugali shosti?? au macho yangu?? make ninavyojua mimi ugali na diet vitu viwili tofautiii, bora wewe ndo ungekula hiyo ndizi

Anonymous said...

kama kwelihiyo dayati unaitaka achakula hiyo ndizi, unatakiwa huyo samaki usitie tomato sos mchemshe au kama ulivyosema griet pia usikose mbogamboga kwawingi maji kunywa sana kuku mchesho kamautaweza chemsha cabichi kula usiku kila siku nakupa wiki2 utapungua mpaka watu watakwambia umukwa lol

Anonymous said...

Chochote kile ukila kupita kiasi huwezi kupungua. Kikubwa ni kula kwa kiasi na mazoezi. Hata ule diet ya maharage utanenepa tu kama unakula kama ligi.

Anonymous said...

sasa j.lo hana mtindi kama wako utafanya diet gani upunguze hilo nyonyo lako la saa tisa usiku.