Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

ABYSSINIA BEAUTY AND SPA NI SEHEMU YA KUTENGENEZA NYWELE ZAKO


Ladies and G hahaaaaa ni sehemu ya utulivu unapata VVIP treatment kama sisi hapa(mimi,jokate,c pwa)kwakweli wanaweza
Ateka is a lady can be trusted in beauty
kuanzia sasa mimi nikitoka nywele zangu atanifanyia yeye na utapenda ukiniona

she is located at Mbalamwezi beach
cell no 0652 593967
ni amini mimi
Hakunaga kama Ateka Dar
mark my words

9 comments:

Anonymous said...

kweli hakunaga naona mpk kiti ni GUCCI picha ya mwisho ha ha ha ha ha ( am joking) ila si uwongo wametulia

Anonymous said...

asante kwa kutuletea vitu vizuri,nitaenda kujionea vvip treat maana napenda.

jane bomba

Anonymous said...

yani panaonekana pa ukweeee japo cjawahi fika but lazima nifike ili nipate vvip.

jane bomba

Anonymous said...

Bei yake shost wengine tutaiweza. nakumbuka nilijichanganya siku moja niliingia salon moja hata jina sikumbuki kumbe bwana ni ya mastaa ile kuseti tu nywele nikaambiwa elfu 10000 nilitoa macho nikahisi mwili unaishiwa nguvu nilikuwa na elfu 12,000 tu mfukoni nikatoa nikabaki na buku mbili huyo nikapanda daladala mbio nyumbani ili nikatafakari iliniuma. mwenzangu tumezoea za buku mbili halafu huduma safi

Anonymous said...

lol sintah unavoandika kama hujaenda shule hayo maneno unavyoyakata

Anonymous said...

Mbona mnaraha huku London kusuka tu ,nywele za shule elfu hamsini.

Anonymous said...

Naomba unielekeze hiyo saloon iko wapi

Anonymous said...

HUYO JOKATE NILIJUA MKALI KUMBE KAWAIDA SANA MAKE UP NDO ZINAWAWEKA MJINI LOOH.

sara said...

mshamba tu huyo jokate nilimuona mjanja kumbe hana lolote