Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SASA ANAITWA VJ VIDEO JOCKEY WA CHANNEL O

nina kila sababu ya kuandika hivi na kufurahia my friend jokate amechaguliwa kuwa Tz representative wa ch 0,nilisema mimi watu waende shule,watu hawahitaji malonya lonya nendeni shule,jokate mbali na kuchaguliwa kuwa mtangazaji mpya wa ch o
ataenda nchini SA hivi karibuni nahisi nitamsindikiza ila niongee na
hubby kwanza maana???wivu asilimia 800,anyway jokate atatangaza red carpet  za ch 0 awards,pale SA akiwa na mtangazaji wa Angola kwa wale wenye Dstv si tumeona eeh matangazo ya kiruka, jamani
nampongeza mimi kama sintah na pia kama my close gf,na pia mwanamke mwenzangu
go go go go go go gal the sky is a limit and to reach there it will take time  there is  still more wonders to come from u my super gal
mimi luv u mob time gal
wenyewe ch 0 wanamuita vj video jockey upo hapo wewe jibebe tuu maana kama nakuona unanunua nuna sana hapo shauri yako siku yako itaaribika mwenzio ndio yule anakwea pipa to SA

12 comments:

Anonymous said...

Sasa ukisema umesoma tunataka kuona ukitajwa kwenye vitu kama hivi. dada wa watu kaenda shule kuanzia muonekano, hata akiwa mbele za watu utajua msomi, akifungua blog ndo utaelewa.
Sasa wewe unayesema umesoma umefanya nini kwenye jamii hii ya ktz????? Hata kazi ya maana huna unabaki kusindikiza wenzako nyuma maskini wewe msomi JLO kwi kwi kwi kwi

Anonymous said...

Sintah umejuaje? yani kuna watu wana roho ya kwa nini hadi basi..kuna kibibi kimoja kimekoment kwenye blog ingine eti onhoo wabongo kwa kusifia!!! yani yeye madai yake ni kawaida tu nafasi kama hiyo mtu kuipata..inawezekana ndiyo ni kawaida lakini yeye alishaipata lini na wapi? kwa wale ambao tumeona is something worth a credit tunampongeza mwanamke mwenzetu na wengi wamempa big up sema vidudu mtu wachache watalaam wa kukatisha watu tamaa ndo wamesema tofauti! lakini ili kuendelea tunahitaji maadui na marafiki...hivyo tunawapotezea tu! kwenye game lazima wawepo ili game iwe hot! congratulations Jokate, hope u inspire many many girls! Binti Ndunguru, Mikocheni.

SIMON KITURURU said...

Mtoto Mzuri huyu!

Anonymous said...

Hivi Sinta huwezi kuandika kitu bila kuweka uswahili kidogo! Manake sijawahi kuona umeandika kitu bila kusema maneno maneno ya ajbu ajabu!!

Anonymous said...

Jokate shule imalala shosti, we muweke mbele ya watu uone yaani ni tofauti kabisa na wewe. Maana wewe kwanza utaanza kujisifia ohooo nimesoma sana, ninamvuto sana hata ukitaka jinyonge, jiue, jikate kate mimi ndo Jlo nk.
Bado uko gizani walioko nuruni wanaonekana na hawajitangazi. Debe tupu haliachi..............

Anonymous said...

Hi Sinta,
Nimependa ume mpa dada jockey hongera zake lakin wewe kama msomi usipende kurushana roho nawatu wa level ya chini, hiyo itakufanya wewe kuonekana mswahiliiiii lakin wewe kuwa kama mjinga hvi uwahoni wala uwasikii, ukiwa kimya hatanyamaaza wenyewe dear. HONGERA JOCKEY KILA LA KHERI NA SISI TUPO TUNAFUATA NJIAZAKO.

Anonymous said...

msomi unaelimu gan tuwekee basi CV tuone sio kila cku kujisifu

Anonymous said...

hehehehehhe umebania comment yangu, lol msg sent and delivery uwiiiiiiiiii, hehehhe bania na hiyo. nimekuuliza unafanya kazi wapi na una cheo gani maaana kutwa kusifia wenzio na kazi zao zinaoneka wewe yako mbona husemi unafanya kazi wapi hahahhahha lol unalo

Anonymous said...

kiukweli sintah unaboa sana.

Anonymous said...

Ila Kajokate kameanza kuchuja jamani

Anonymous said...

mie kwanza kujiita tu J lO nna wasiwasi na shule yako!what make you to call yourself J Lo? ni mmefanana sura?!, shape?! au the way you act on movie?! ni nini sasa?! any way kwanini hujifurahii wewe mwenyewe like Sinta? hujiamini?! ivi mfano leo ukawa celebrity duniani, au ukapata deal lolote ukiulizwa your nick name utasema J lo wa bongo??!!

Anonymous said...

hamna shule hapo wote wawili jokate na jlo bongo hamna ki2 kabisaaaaaaaaa kuna watu wana shule zao na hawajisifu pumbavuuuuuuuuuu ole ubanie hiyo comment panya weee