Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NINI HASA MAANA YA ATM?

leo nimeamua kuifungukia hii Bank ya CRDB najua kuna wafanya kazi wao wanaangalia blog pse take this to management
ukikaribia katika ATM'S zao kwanza unajiuliza sijui inafanya au?nini hasa maana ya ATM? kwa upeo wangu ni sehemu ambayo unaweza ukachukua hela ya dharura na kwa haraka zaidi,ila kwa hii bank ni otherwise
tunaomba mjirekebishe jamani mnatutesa
kama nimewakera  poleni ila nipo kuelimisha jamii na inachukizwa sana na hiyo tabia
your there for us,pse satsfy our needs maana without customers you will not make it

huwa sitanii angalia below ukubali nilichoandika juu

6 comments:

juliana deus said...

mm kuna cku nilijuta nilipoenda atm kuchukua nauli tu heeeeee atm ikawa haina hela we nilijutaje weeee ikabidi nitembee kwa miguu

Anonymous said...

gramma error, not ....your there but you are there.... be careful lady

MIMI said...

Sintah usibanie comment,
Kwa mtu muelewa hayo ni matatizo yanayoweza kutokea kama machine yoyote vile inavyoweza kuharibika, ila kwa ufahamu wangu mimi hawa watu huwa wana update systems(end of day) kila siku jioni hivi kuanzia 6pm mpaka 7pm hv so huwa ATM zinakuwa down, so sio kwamba nawatetea ila najaribu kukuelezea kwamba mitambo inaweza korofisha pia any time, haiko fixed ile, so tuwe positive na tuache kulalamika bila kuwa waelewa.

joy said...

kweli atm za Crdb zinabooooooooa..mimi naishi tegeta but tar 24 Sept Atm ya Mbezi pale ilitusumbuaaaaaaaaa,ndani napo wako too slowwwwww aaagh i wish ningepata namba ya Director kimei niwe namu inform mana wateja wanalalamika mm mmojawapo..nyingine ni ATm ya ya Tegeta near petrol station..halafu na hii habar ya kukata hela unapomtuma mtu mwingine akuwekee hele kwenye akaunti yako ni wiziiiiiii

Anonymous said...

Madame copy n paste ushakopy kwa diva

Anonymous said...

honestly wanaboa saaanaaa CRDB na sio Dar tu hata huku mwanza mambo ndo hayo hayo..they have to change bana aaaghhhhhhhhhhhhh..!!!!!!!!!!!