Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

IAM BACK LIKE NEVER WENT,ALAMA YA X MOVIE IKO MITAANI GRAB YOUR COPY


nikiwa katika pose na mdau                               wadauu


                         jlo in the mix
camera man akifuatilia pose za jlo

                    tino &jlo
                        jlo nikiwa katika simanzi

alama ya X ni movie ambayo nimeicheza na Tino,nilikaa takribani miaka saba sijacheza movie sasa nimerudi,nilishoot hii movie katika kipindi cha ramadhani ilinipa shida sana coz nilikuwa natoka kazini then naenda location
huuu it was a tough week for me
thanks God i managed


                  Behind the scene                 screen test

      sikutaka kula chips  nililazimishwa

                  tukiendelea ku shoot
production team


kama kawa palipo ma celeb lazima tupige picha na wadau wetu
       jlo& tino

namshukuru Mungu sana kwa kuwa nimemaliza hii kazi,sasa napumua jamani heee,stay tuned for Sintah Europe tour ya movie nyingine hii ni kwa hisani ya watu wa Sweeden

thanks and stay blessed

14 comments:

Anonymous said...

Vp tena swahiba!ulisema hutocheza tena filamu shurti watu wakakubembeleza humuhumu bloguni ukasema never imekuwaje umaarufu umegoma bishoga

juliana deus said...

jaman thnx for caming back to the move mamy wel came back mdada hope ful utafanya vizur

Anonymous said...

HATA KM MOVE NZURI MI CTAKUPONGEZA, ULISEMA KUWA HUTAINGIA TENA KWENYE HII MAMBO YA KUACT NINI IMETOKEA?? USIONGEE VITU NA KUAPA HUKU HUWEZI KUTIMIZA HUKO UNAPOFANYA KAZI HULIPWI VIZURI???? MAISHA YAKO YALIKUWA KIMYAAAA KILA M2 ANAKUADMIRE JUU UMEBADULIKA UNARUDI KULE KULE KWENYE KASHFA AM SURE UMEMISSS KUPAMBA MAGAZETI YETU.

Anonymous said...

OOH MIE SIRUDII KUIGIZA OOOH MIE CJUI NINI KIKO WAPO?????? ACHA PASHAU

Anonymous said...

SIKUSHAURI HATA KDG UNLESS KM HUKO UNAPOFANYA KAZI HAWAKULIPI VIZURI AND USIJIDAI KM WATU WAMEKUOMBA SN CJUI WAMEKUBEMBELEZA HAKUNA UMETEKA MWENYEWE AFU UMESEMA JUZI UMEPETA KAZI KWA TV HURIDHIKI??? KWANINI UNARUDI KWENYE VITU VITAKAVO KUSHUSHA HADHI???

Anonymous said...

NAISAPOTI MNO MNO SANAA YA BONGO NA NAPENDA KUANGALIA JUU YA KWAMBA NYINGI HAZINOGI ILA NAANGALIAGA BAADHI. WADADA WA FILAMU BONGO WEEEEENGI WANADHARAULIKA HATA WALIOLEWA WANAJIANIKA MNO MPK HESHIMA INASHUKA.
TATIZO NIIII HATA SEHEMU ZA KUJISTIRI WAO WANAJIANIKA NDO ZARAU INAKUJA MPK WATU WANAISI KM WANAJIUZA FILAMUNI SINTA UNARUDI HUKU KULIKOCHAFUAGA MAISHA YAKO???KWELI WATU HAWABADILIKI AND SOON UTAPATA JUMA NATURE MWINGINE

Anonymous said...

MI NILIZANI BLOG NA IYO KAZI YA TV ULOPATA UMAARUFU UTAPANDA KM ULIKUWA UMEPUNGUA KUMBE BADO UNAONGEZEA???? HAYA NENDA KWENYE MAJUNGU UKO UPAMBE MAGAZETI YETU. HONESTLY SPEAKING KM UMEENDA SHULE KM YAKO NA KAZI NZURI SHUTI UNAMINGO NA WATU WAKUBWA HUWEZI KUFANYA FILAMU HADHI ITASHUKA MIMI NAWAHESHIMU WANAUME TU TENA C WOTE JB,KANUMBA,RAY,CLOUD NA WALE WAZEE WANAWAKE WANAFANYA KAZI NZURI CKATAI HATA KDG ILA MUONEKANO WAO NI MBAYA UNAWAFANYA WAHISIWE MAMBO MABAYA

Anonymous said...

SEHEMU SIYO YA KICHUPI M2 KAVAA KICHUPI, SEHEMU YA HESHIMA M2 KAVAA HOVYO WAKIACT KIJIJINI WALAI UTAWAPENDA WANAFANYA VIZURO MNOOOOOOOOOOO ILA MJINI YANI CJUI NI KUPANIA HATA SIELEWI LAZIMA WACHEMSHE WANANIUZIIIIIIII NATAMANI KUWAAMBIA JUU MI NAJUA WANAWEZA SASA KUIGA KWA NINI??? WENGINIE MIBONGEEEEEEE MINYAMA KILA MAHALI AFU ANAJIANIKA UNAONA MPK MICHIRIZI ILE SINTA JIANDAE KUZARAULIKA 4 THE 2ND TYM

Anonymous said...

Hongera sintalicious , unafanya vizuri mama. kwangu mimi napenda sana mtu akihangaikia maisha yake. Jane wa L

juliana deus said...

uyo aliyeandika comment kwa herefi kubwa ni m2 m1 wala usivunjike moyo kwani maneno yako ni msahafu hayawezi kubadilika jamen tuweni wajasiliamali maisha ni kkt cha muhimu ni kumshauri ushauri mzr na aachane na skendo pindi atakapoingia kwny game

Anonymous said...

Hii foundation uliyopakwa hapa ndio color yako,uwe unapakaa hii hii,usije paka white zaidi ya hii unaonekana kituko

Anonymous said...

Hii make up kweli ni nzuri kama mdau alivyoshauri, tunaomba usipake nyingine tumia hii, usije ukakosea kama ile ya kwenye harusi. Hongera sana bi dada na endelea kukamua kama kawaida.

Anonymous said...

Sintah wewe ni mzuri na ni mzuri kweli nimekuangalia kwenye pics nimekukubali. Nakuomba tu dada kama utapenda kukubali ushauri wangu wa bure na si chuki kama unavyofikiria ila ni kwa ajili ya maendeleo yako baadae, nakuomba ukuze jina lako mwenyewe usipende kuwa second_hand nadhani umenielewa. Jipende mwenyewe na penda watu wakujue kama wewe na utafika mbali.
George USA

Anonymous said...

Asante sana George kwa kuliona hilo hata mimi kwa kweli sijapenda Sinta unavyojiita JLO WA BONGO, jivunie jina na utanzania wako mi nashangaa Wabongo wengi wanajiita majina ya macelebrity wakubwa wa nje kwanini mtu usikuze jina lako lijulikane kote? mfano Judith au LADY JD mbona anajulikana kila mahali. utakuta mtu eti mare KIMORA, KIM KENDRA jamani hayo ni majina walopewa na wazazi wao na wanajivuna nayo hayo yakwenu kwanini mwayadharau? ni hayo tu