Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

GYM,GYM,GYM

Leo 06-10-2011,nimeanza gym rasmi mmmh it is hectic coz i gatta wake up early morning at 5.30 to 7.00am,preparing my self to work isnt easy at all but i know will make it,cant wait to shed off my calories,thanks to my lovely wadau for the support coz you have been complaning about my fatness,thanks to you all
and no matter what your the reason why iam here, i have every reason to  love you
my special gratitudes goes to my lovely wadau juliana deuce,Koku US,jenny and all for the love,and care

wish me luck
by jlo bongo,sintah,nothing but confidence,unstoppable,sintalicious             with my unforgettable AC, R.I.P gf

17 comments:

DadaMkubwa said...

Naomba nijitambulishe kwa mara ya kwanza kama shabiki wa blog yako,
Sasa raha ya ku-loose weight ni kupeana kampani mi na KG 75 Naanza jtatu ku fight weight so any member anaye feel like kumuunga Jlo tuungane na mseme after muda gani tena tuseme tume-loose ngapi,
DadaMkubwa

Anonymous said...

JITAIDI U CN MAKE IT SIJUI KWANINI WAAFRIKA TUNAJIACHIA MINYAMANYAMA AFU ETI UNAVAA TENTEMEMNTE VIGAUNI VYA KICHINA VYA KUVUTIKA MWENYEWE UNAJIDAIIIIIII KUMBE WACHEKESHA WALONUNA HA HA HA HA KAKATE MWILI UO

Anonymous said...

Yaani katika siku ulizofurahisha na kugusa wadau wako ni leo. Mhhh utafikiria ulikuwa uko kwenye mawazo yangu. Mi nafikiri pia tuandae na diet kabisa halafu wadau wako tuwe tunaitumia pamoja na mazoezi. Nitakutumia moja soon. I love the name sintalicious

Anonymous said...

Hakika utakuwa mrembo sana ukifanya mazoezi. Hapa umeanza kukua na kublog sasa tupe raha wadau wako. Mimi nakuunga mkono 100% na tufanye ya 30 days halafu tutumiane pics za before and after, halafu tuongeze tena 30 days tupige tena pics tujue na tuone mabadiliko.

Anonymous said...

sintalicious what a name jamani. kweli JLO halina hata mvuto. hayo mazoezi ni mazuri na pia tuwe angalau mtu mwenye mazoezi ya kukuza matako, hips (Build bigger and sex butt google utaona watu waachane na mchina), kuondoa tumbo, love handles nk wawe wanaweka hapa. Tufanye mazoezi na diet. Tuko pamoja ila tunaomba ratiba. Jane wa L

Anonymous said...

Mimi hii Blog nilikuwa siipendagi kwa kweli, ilikuwa haijakaa vizuri, ila kiukweli hapa sasa umeanza mambo. mazoezi tupeee mwisho wa siku tukutane tupongezane

Anonymous said...

Mmeoana eheee, sasa hivi kwa kweli raha kutembelea blog kuona mambo mapya na kutengeneza shape. big up sintalicious

Anonymous said...

Wewe Jane wa L mbona umeongea point kabisa, kweli blog tumeikubali wadau. Asanta sana Sinta kwa kutuletea good news, sasa na wewe tupe ushirikiano mzuri jinsi ya kutuma aina ya mazoezi.

Anonymous said...

Heee mbona tutakukoma sisi watoto wa wenzio? maana ukipungua utapendeza sana wazo zuri na tunashukuru kwa kukubali ushauri wetu umechukua uamuzi wa busara kabisa. Big Up

Anonymous said...

Hata mimi hilo jina sintalicious nimelikubali wadau. Mazoezi yako wapiiiii tuanze siye. Tunaomba na diet plssss.

Anonymous said...

Mbona hiyo Picha uliyo piga na Marehemu Dada yetu ulikuwa unarangi nyingine na leo unaonekana na rangi nyingine mmmhhhh

Anonymous said...

Yaani umejipatia kwa jina la Sintalicious,linaendana na wewe jinsi ulivyo na ni identity yako,plz kuza hili jina
Pia blog inaenda kuzuri loo,endelea kukaza but mama sintalicious

Anonymous said...

Sintalicious, Jina tamu sana. Sasa endelea kutupa habari. Sisi tulioko nje ya TZ tukiona wadada wenzetu wanajituma kwa kweli tunapenda na kufurahi. Pia nakupongeza kwa kukubali ushauri wa wadau wako unaonyesha jinsi unavyowajali. Punguza mwili na jina lako likuze.

Anonymous said...

Ni wazo zuri la kwenda gym ila mazoezi mazuri penda kufanyia nyumbani kwako pamoja na diet maana mazoezi bila diet haisaidii. Uwe makini na kila unachokula.
George USA

Anonymous said...

Hongera sn mamy, pungua kidogo bwana mwanzoni ulikuwaaga mzuri sana na rangi yk tamu sasa hivi bonge colour mbaya hata cjakufurahia. Evelicious

Anonymous said...

wee matako mbona hau post vitu vipya tangu wiki iliyo pita

Anonymous said...

karangi kako ka ngozi kalikuwa kazuri sana.