Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

YANGA NDIO TIMU YANGU NINAYOIPENDA HILO HALINA UBISHI


nikiwa katika pose

              nikiwa na sendeu mpirani

7 comments:

Nesha....(Ngeze) said...

pendeza.

juliana deus said...

jaman mi na wewe tutaishi mana ninavyopenda yanga mhhhh naichukia simba jaman ghhhhhhhrrrrrr sijui kwa nn haaaaaaaa yanaga oyeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

umependeza sana nakipedo chako nakiomba ningekipata hicho loo! mama brice

Anonymous said...

dah! kama mimi! YANGA OYEEE!

Anonymous said...

sinta mimi mdau wa sweden.napitaga humu kwa blog yako sijawahi toa coment ila leo naomba niseme nimependa saana weaving yako hapo uko uwanjani imekutoa saana sijui ni wg but ninzuri imekupendeza saana hata kivazi chako cha hiyo shot p na tshirt umetoka bomba mwaya hongera saana.

Anonymous said...

noooo! me ni mshabiki wa simba bana,i hate yanga.umependeza

jane bomba

Anonymous said...

Mhhh this is why I like you lady. You are cute bana, Those innocent eyes, a great smile sijui nisemeje ila to be honesty you look very pretty. Wacha wanaokuonea wivu wakae kimya sasa eheee.
Jane wa L