Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

NIMEWAMISSO

Extremly busy,yaani nimewamiss mpaka sana uuuuh cant stand this yaani in two weeks nadhani nita shed 2 kgs nipo busy sana wadau wangu yaani mambo mengi sana
kama mlikuwa hamjui now nimepata another job ktk Tv sasa nina kazi yangu na part time katika Tv sasa fikiria huo uchovu jamani heee week end ndo kabisa mpaka Nargis jana ananiambia jlo u need a rest mmmh ila kesho nita apload mambo namsubiri the no one photographer Teja boy alete maphoto maana mimi weekend hii baada ya kukerereka pale Kempisnki na yule Dj boya sikutoka tena
all the best remeber leo ni siku ya kwanza kwa week kuwa makini sana

from me and the crew
jlo bongo(kwani unawashwa nini hasa nikiitwa hili jina kwa kweli itakuwa ngumu kuliacha heeee kiluma ndede tangu 2002 no way out
bye
 nuna kidogo leo jumatatu

24 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Jennifer Lopez wa Bronxy Jlo, Tunahitaji wachapakazi kama wewe Tanzania.

Anonymous said...

JLo Bongo, kwa kuwa umeshauriwa umekataa na kuona labda tunawasha ukijiita Jlo Basi nasi tumekubali. Ila ungekubali ushauri wa watu ukuze jina lako maana najua hamna SINTAH mwingine bana. Huo ulikuwa ushauri tu wa watu wenye nia nzuri na wewe. Maana hata hapa Tz wenye majina sana wametumia yao wenyewe na wengine wametengeneza unique nickname. mpk photographer kaona mbali anajiita Teja Boy, ukija kwa DJ Boya umeona eheee.

Anonymous said...

My dear sweet lady Jeniffer Lopez wa Tz, mimi sina chuki au wivu na jina lako ila mimi nilikushauri tu ujikubali kama Sintah na uvume pande zote za dunia kama Sintah we huoni raha hivyo.

Anonymous said...

kaza buti mama na hata ukipungua utapendeza zaidi. Nimependa ulivyoaanza kujielezea like matured/educated person ila hapo mwisho tena umevurunda. Usilazimishe watu wakuite hivyo acha iwe automatic. na pia hilo jina halikufai bana natamani ungeelewa tunavyokupenda.

Anonymous said...

Ungeisha tu Jlo Bongo.Fanya your blog iwe na mvuto wa kutembelewa na watu wote. umeona kwenye bloglist yako kuna Lady Jay dee na ndo peke yake nenda popote humkuti mwingi anajiamini na kujikubali na pia blog yake imekaa kama mtu aliyeenda shule kidogo si watandale uzuri wa kuweka majungu au mafumbo. Sijui kanywa sumu, jikate kiwembe, kwani unawashwa why??? dont use this word pls. Tembelea blog nyingine mfano U-turn pale bana ndo mwisho wa maneno dada wa watu anasikilizaga ushauri wa wadau wake tena akikosea tu kutuma post iliyokaa kienyeji anaitoa mara moja. Kubali kushauriwa.

Anonymous said...

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Wewe ni aina ya watu wale wasiojishusha, wasiorekebishwa na mtu yeyeto, much know, na hupendwi kabisa watu wa kushauri maana unaona kuwa wewe unajua zaidi. Kila la heri ila ipo wakati utakumbuka kipindi hiki kuwa wako watu waliokupenda wakakushauri.

Anonymous said...

Hata sisi tumekumiss sana. Go Go Go Go Maisha ni uchakarikaji. Ila I'm sorry we jiite tu mwenyewe na wala haina haja ya kuwalazimisha watu wa kuite JLO.

Anonymous said...

Kuna msemo wa kizungu unasema "If you want truly to understand something, try to change it"

Anonymous said...

yani we mshamba utaishia ivyoivyo kuupanda bajaji

Anonymous said...

HAO WALIOKUPA KAZI LAZIMA MABWEGE, BY JST VISITING UR BLOG A PERSON KNOWS HOW STUPID UR. UNLESS THEY WANT TO USE U MAANA KWA JINSI UNAVYOLAZIMISHA UMAARUFU HATA KWA KUHONGA UKO TAYARI KUFANYA KAZI

Anonymous said...

una kazi bidada, ila umepata kazi tv gani tukuangalie maneke una mvuto manake uso wako mauzo hata wakinuna wapotezee mazee

Anonymous said...

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. bongo kweli kuna kazi. kwa ushamba huu masupasta wa bongo hamtatoka.
jlo uko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Anonymous said...

acha mi nicheke. kweli ushamba mzigo

Anonymous said...

aise, kweli unafanana na jlo. kuanzia sura, miguu, kiuno, shepu. kweli duniani mko wawili wawili wawili.
kwi kwi kwi.

Anonymous said...

Mimi nilikuwa nisijakuangalia vizuri, kweli unafanana na jlo. Inaonekana mama yako alipigwa pumbu na baba yake jlo

Anonymous said...

Kwa hiyo ndiyo kusema kuwa mama yako alilala na Baba yake JLo? Hebu tuambie sawa sawa.

Anonymous said...

Kafirwe huko wewe. Nasikia ndiyo mchezo wako. Juma Nature anasema alikuwa anakuinamisha na kukula TIGO.

Anonymous said...

Jlo sura kama unaliwa TIGO?

Anonymous said...

Mh! hovyo

Anonymous said...

jlo uwe wewe kwenda zako kima weeeeeeeeee

Golety said...

jamani hebu kuweni waungwana, mpaka hapo alipo tayari maarufu hawezi kuulazimisha, hizo msg zenu za matusi zinaboa,mwacheni dada wa watu,.....
SINTAH MAMA WW NDIO JLO BONGO HAKUNA MWINGINE KEEP IT UP MAMA

Anonymous said...

mi Sintah unaniudhi sana kuweka haya ma comment ya wanyarugusu..huoni kama wanakuchafulia blog yako? hapa hakuna aliyelazimishwa kutembelea blog. na wewe unatakiwa ujifunze kuwa kufanya jambo kumfurahisha binadamu ni gharama sana na seriously u cant afford no matter how hard u try! it is u and ur life...who said waje humu..kiustarabu hata kama mtu anakukosoa atatumia lugha ambayo wewe menyewe utaona mh..hapa kweli mdau kaongea..sasa haya matusi wametuma..nawe umeyaweka kama yalivyo, nimekereka sana..usipende kuwapa low life sababu ya kukutenda..weka apositive na negative comments zinazojenga na kusaidia si wewe tu blogger bali hata wasomaji..hapa kuna kuelimishana, kuburudishana, kukosoana nk...pls watendee haki familia yako kwa kuzichinjia baharini comments zisizo za kimaadili.... ni hayo tu. DOREEN MIKOCHENI

Anonymous said...

ni utoto tu, akikuwa ataacha!!!

kwi kwi kwi haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaa

sophy said...

washamba tu hao mwenye akili zake timamu hawezi kumkosoa m2 kwa matusi hata siku moja, wasikupotezee mda na wala usiwape nafasi. au labda wanataka waitwe wao hilo jina...