Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

PICK OF THE DAY JLO BONGO
huyu ndie jlo Bongo kama una kiwembe karibu yako kisogeze na ujikate kate
hizi ndizo baadhi ya  pose zake
hivi umeshawahi kusikia majina ya wacheza mpira wote hapa bongo?mbona hao hamuwasemi sasa mimi niliitwa hilo na nnitaendelea  kujiita mpaka basi mpaka mtoto mdogo ukimuita ukimuuliza nani ni jlo bongo kwa herufi kubwa atakwambia SINTAH
sasa wewe unakereka na nini?nimekuchefua leave me alone after rall you dont pay my bills,my house,my car fuel kwahio pasuka tuuu
message from
jlo bongo

37 comments:

Anonymous said...

Siku zote kile kimjazacho mtu ndicho kimtokacho, ukiwa unawaza kuonewa wivu, kuchukiwa, kutopendwa ndo hivyo hivyo hata ukiwa mbele za watu utakuwa unaongea. Sintah kwa umri ulionao kwa sasa anza kutafakari juu ya maisha, maendeleo nk. Usipende kuchukua muda wako mwingi kuwaza watu wananichukuliaje au kufanya watu wakukubali. Watu watakubali iwapo utakuwa unaweka kwenye blog yako mambo ya maana. sawa wewe ni Jlo kwa hiyo tukusaidiaje? So What????

Anonymous said...

Bills zote si unalipiwa na huyo mume wa mtu aliyekuweka mjini sasa hivi hadi unakuwa na uwezo wa kufungua kinywa.

Anonymous said...

'umependeza.....'

Anonymous said...

Kwa kawaida, mtu mwenye point, hata asipoongea mara kwa mara, utamjua tu kua ana point, hata kwa jinsi anavyoyafanya mambo yake. na siku akiamua kuongea ndio utajua kabisa kwamba hiki ni kichwa. lakini wapo ambao hata ukimuangalia katika ukimya wake, unajua kabisa kuwa huyu akifungua kinywa tu ni disaster. Blog yako yote imekaa kujisifia uko hivi mara uko vile tunashukuru kwa hilo

Anonymous said...

your name suits you and not otherwise,kwanini always busy convicing people to call u Jlo ? Unatatizo la kutojikubali, jikubali kwanza halafu utaona utakavyopenda jina la Christine. Sioni sababu yotote ya kujifanya fulani wakati hujui A wala B yake. Andika jina lako kila kona kwa herufi kubwa na pia kila unapooandika kitu weka jina lako bado limbukeni wa kutumia majina ya watu.

Anonymous said...

Sidhani kama watu wa humu ndani wanakereka ila wao wanatoa tu ushauri ili uondoke kwenye ulimbukeni wa kutumia jina la mtu, tumia Identity yako tena kwa kujiamini.

Anonymous said...

Ukijiita hata usipojiita labda kwako wewe linakupa manufaa gani? Ningekuwa limbukeni kama wewe leo hii ningejiita bill gate Acha weeee. Ila tumetofautiana kimawazo na kimtazamo.

Anonymous said...

Hivi inakuwaje mtu anashindwa kujikubali hata kwa mapungufu yake? Jipende na jikubali.

Majoy said...

Leave your life dear u will never be able to satisfy people's needs....after all u harm no one by calling urself Jlo wa Bongo....i love the way u are the way u r fighting with ur life ...u r a hardworking gal...keep going dear ..sky is de limit!!!

Anonymous said...

Kwi kwi kwiiii kwiii kwani kikubwa hapo ni nini? jamani jina tu JLO ndo likupeleke mbio hivi? makubwa haya jamani!!!!

Anonymous said...

Giving yourself a negative label undermines your confidence and self-image, which also keeps self-love from growing.

Often we don’t even think about the names we use to refer to ourselves if we’ve used them for a long time and it’s become a habit. You might not even realize you do it. But using negative words about you in what may seem like a harmless way will subconsciously keep you thinking of yourself that way. Even if you really do think of yourself as the negative label you use, you need to stop it if you want to step into being a more empowered person.

Anonymous said...

When you don’t feel good about you, it’s easier to adopt names given by others.

Anonymous said...

Ask your self Who am I? Always be a first-rate version of yourself, instead of a second-rate version of somebody else. We have to try to be originals instead of carbon copies of everyone else. No more Barbies! Just be whoever you are.

Anonymous said...

Whats wrong babe! Jiamini

Anonymous said...

Nimesoma comment za watu hapa na usahuri uliopewa ni mzuri kama utaufanyia kazi. Kiukweli sisi wanadamu tunaishi kwa kutegemeana na pia tunaposhauriwa tukubali kubadilika. Usitumie hata Christine tumia SINTAH linawika vizuri hilo la JLO linaonyesha mapungufu uliyonayo kuwa hujikubali.

Anonymous said...

Hapa si eneo la taarabu, si sehemu ya majungu jaribu kutumia maneno ya busara unapoandika kwenye blog yako, wanaopenda kupitia blog yako ni wengi na wengine wako nje ya huko Tanzania, sasa ukianza kutuandikia mambo ya kiswahili kwa kweli hatukuelewi

Anonymous said...

Pose limetulia, kama wengine walivyocomment jikubali

Anonymous said...

Haya Jennifer Lopez a.k.a''Jenny from the Bronxy '',Jlo tumekusikia sana hatutakaa tukuite Christine or Sintah maana hayo si majina yako.
Wadau naomba muache kumshauri huyu binti may be one day thanks to God reality will come to her and appriciate herself more, achieve more and be proud of what her mama and papa gave her cz kwa sasa hata tupige makelele yeye anadhani ni wivu na sio ushauri.
God bless you binti mzuri Jennifer Lopez wa BronxyHaya Jennifer Lopez a.k.a''Jenny from the Bronxy '',Jlo tumekusikia sana hatutakaa tukuite Christine or Sintah maana hayo si majina yako.
Wadau naomba muache kumshauri huyu binti may be one day thanks to God reality will come to her and appriciate herself more, achieve more and be proud of what her mama and papa gave her cz kwa sasa hata tupige makelele yeye anadhani ni wivu na sio ushauri.
God bless you binti mzuri Jennifer Lopez wa Bronxy

Anonymous said...

Mhhhh!!! Kweli tumetofautiana. Jiamini!! Jikubali!! Wewe ni wewe na siyo Jennifer Loppez. Be you

Anonymous said...

chunguza mastaa wote wanaoishi bongo na kujipa majina ya mastaa wa nje...chunguza elimu zao na mwenendo wa maisha yao....Wengi hawana elimu ya kutosha na wanaishi kwa kutegemea mabwana/waume za watu kama wewe....SASA WEWE UNAJIITA MSOMI LAKIN MBONA HUJAELIMIKA.....KAMA USOMI NDO HUO NI BORA NISIENDE SHULE KABSAAAA lol.....KUNA WATU WANAMAJINA HAYANA HATA MVUMO LAKIN WANAJIVUNIA POPOTE KUITWA HIVYIO...SABAB SI MALIMBULIKENI NA WAMEELIMIKA...KAMA WATU WANAKUITA HIVYO KAA KIMYA TU...LAKIN SIO KULIPIGANIA KABSAA HILO JINA KWA NGUVU ZOTE.

Anonymous said...

hunguza mastaa wote wanaoishi bongo na kujipa majina ya mastaa wa nje...chunguza elimu zao na mwenendo wa maisha yao....Wengi hawana elimu ya kutosha na wanaishi kwa kutegemea mabwana/waume za watu kama wewe....SASA WEWE UNAJIITA MSOMI LAKIN MBONA HUJAELIMIKA.....KAMA USOMI NDO HUO NI BORA NISIENDE SHULE KABSAAAA lol.....KUNA WATU WANAMAJINA HAYANA HATA MVUMO LAKIN WANAJIVUNIA POPOTE KUITWA HIVYIO...SABAB SI MALIMBULIKENI NA WAMEELIMIKA...KAMA WATU WANAKUITA HIVYO KAA KIMYA TU...LAKIN SIO KULIPIGANIA KABSAA HILO JINA KWA NGUVU ZOTE.

Anonymous said...

ohooo Girl, stop that pls. You are matured now.

Anonymous said...

If you’re always working to be someone you’re not, you’ll never be a happy person. Be yourself and show the world you’re proud of the way you are! Nobody knows you better than you and that’s how it should be. You deserve to be your own best friend, so start trying to figure out how you can do that.

Anonymous said...

Why would you like to be some one else? When your amazing at being yourself.

Anonymous said...

Mdogo wangu wewe ni mrembo tu hata ungeitwa Andombwike kwa wale wa kwetu Mbeya bado ungeonekana ni bomba, sikukatazi kutumia jina hilo ila nakushauri ulikuze jina lako kama ambavyo mwenye jina hilo alivyolikuza jina lake. Na hata hivyo hata ukiitwa JLO bado haitakufanya ubadilike kwa lolote lile mimi nakushauri jivunie jina lako halisi itapendeza saidi. huo ni ushauri tu

Anonymous said...

mbona wahangaika sana dd angu jina lako ndo kila kitu wazani ukienda huko kwao unadhani utajulikana kama j lo? naona umefulia huna lolote

Anonymous said...

wewe na hao wacheza mpira wote hovyooo....no wonder si ndo walikuwa mabwana zako hao. jikubali mama na utafanikiwa. why hutanami kuwa kama wenzio? they're famous n yet wanapenda majina yao. thought utakuwa wa kwanza kulikataa jina la jlo ambalo ulipewa kutokana na ufuska bt cha ajabu unaling'ang'ania kama ruba. SIO MZIMA WE MWANAMKE, Una stress za maisha so go n seek help

Anonymous said...

sweat heart you are so beautiful but you don't know your place,ukijikubaki everyone atakukubali, but l feel so bad when l see you feel good with someones name instead of yours. you need to see the psychologist, it is not normal you must have the psychological problem.

Anonymous said...

Ilike the hair girl! if u dont mind who did it?

Anonymous said...

haya JLO...tunajua wewe ndio mzuri kuliko watu wote duniani....vip hapo ?umefurahi eeeenh!

Anonymous said...

Huyu sinta mpumbavu sana its my first time to visit this blog and i will never visit again naona pumba tuu, kaundika hajui upuuzi mtupu,im irritated na ole wako usiipost

Anonymous said...

Aisee wewe kweli kuwa na sura nzuri sio kuwa na akili.POLE

Anonymous said...

jlo,kim k,kimora lee..na wote mliojibatiza majina,kwanza hamfananii kabisa,pili shule ndogo na kutaka umaarufu usio na maana,angalieni wenye majina yao wanafanya nini,sio nyie mnaosubiri kujiuza..!!girlz,u need to grow

Anonymous said...

unahitaji kumwona psychologist akusaidie kwani una hali mbaya aisee!fanya hivyo mapema,hauko nomo kabisa we binti

Anonymous said...

mbumbumbu mzungu wa reli,,,,

Anonymous said...

MMM Nature hakukosea kale kawimbo, Duuuuuuuuuuuuuuu JLO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Maradhi ya wasiwasi ndio yaliyo kukumba.sasa wewe kujiita hilo jina unahisi nini au wadhani unamtisha nani mjini na mpumbavu gani atakuonea wivu kwa wewe kujipa hilo jina.kaa chini tafakari ushazeeka na wakati wa kujifanya rafiki na watoto wadogo umeshapita kwako.wajitapa kuwa msomi hebu ishawishi jamii kwa kutumia elimu yako na si hayo uyafanyayo.koma kizee weye