Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

JOYCE'S KITCHEN PARTY WAS AMAZING

                                       ukumbini
bi harusi wetu
mliosha jamani


                           


ni zawadi ni zawadi

                jokate wewe na viduku wapi na wapi

                        kodac moment
                 mummy and daughter
                            stunning

sorry gf nimeweka late, but katika kitchen party nilizoenda this was different  jamani walijua ku keep time despite of the rain ilianza on time,mimi na sauda tulichelewa maana mimi nilikuwa nipo kazini up to 9.00pm lakini nikasema bora nichelewe kuliko kukosa
si tutakuta karibia inaisha
jamani kitchen party ni kuwahi
oooh Joyce luv wish you all the best in preparation of your new home may the good Lord fill your house  with luck and love

all the best
from Sintalicious

3 comments:

Anonymous said...

i like the bride`s accessories, they have Pharaoh`s test.. you looks gorgeous JLO.. Naz

Anonymous said...

Mhh mwaaa dada wa kitchen party alipendeza sana wapi Sintalicious. Ohoooo nimeshakuona baada ya kuchungulia saana mbona nimekusahau leo jamani. Umependeza saaana wewe mtt wa watu uko juuu saaana.Mh!! nakuombea Mungu akujalie mtt wa kike afanane na mama yake.
Jane wa L

Anonymous said...

Mi naomba mnielekeze kwa madesigner wa nguo wanaoshona vizuri tafadhali.