Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MZEE KIPARA ANAHITAJ I MSAADA WAKO

                        mzee kipara na jlo bongo

      mzee k na sauda

   chick,mzee k,sauda,jlo bongosiku ya jana baada ya kutoka job ule muda wa lunch niliamua kwenda kumuona mzee kipara katika makazi yake
nilisikitika sana kusikia mzee k anaumwa,nilipomuona nilitokwa na machozi yaani katika watu ambao ni emotional mimi nimaweza kuwa wakwanza maana machozi ni nusu sekunde tu,
kwa ujumla hali bado sana anahitaji kwenda kufanyiwa check up ya miguu
Nashukuru sana Sauda,Bongo Movies,jlo kwa kufika pale
pia shukurani hizi ni za kipekeee kwake my dada Ninah kwa kufika pale na kuahidi atamlipia wheel chair pamoja na house boy wa kumsaidia full time
usikose kuangalia kipindi cha sauda mcheza kwao hutunzwa ndio kimemhoji vizuri na kwakina Mzee K

pia shukurani ziende kwa Mb Iddy  Azan kwa michango yake

ukitaka kumchangia huyu mzee wasiliana na chick  0712 885999
maana ndio anamsaidia kila kitu

senkyu
Mungu atambariki,Inshallah

5 comments:

Anonymous said...

m mungu ampe afueni jamani apone nampenda sana mzee kipara jlo hamasisha hivyo hivyo na wenzako mpate kumsaidia huyo mzee wetu

yani huyo nina m mungu atamlipa kwa wema anaomfanyia kumuwekea hosue boy amsaidia kila kitu muhimu apate daktari wa maana awsiye na tamaa maana mdr wetu tamaa mbele wakishaona mtu anachangiwa wataanza mihela

kila mwenye kutoa m mungu atamlipa ilove mr kipara wtu

skinny gal

Anonymous said...

msifanye kufa kufaana hapo na msitake kutokea kupitia mzee kipara mana nyinyi wadada mna mashauzi mumsaidie kweli kama ni kweli

Anonymous said...

Hey, you are beautiful JLO. I can see the other side of you, you are simply sweet inside and out. No one can prove this wrong, im impressed you are there for the ones in need. You might not give anything but still your presence can make a difference, im so touched and happy.. Get well soon Mzee Kipara, go girl.. A NEW FAN.. Naz

Anonymous said...

Mungu amjalie afya njema. Tunamuombea apone haraka pia Mungu awabari wote mliojitolea kwenda kumuona. Tutatuma hata mchango kwa tigo pesa ili ziweze kumsaidia.
Jane wa L

Infortainment said...

mamito hujatuambia we utamsaidia nini then i know u ulivyo na huruma mungu akuzidishie oh Nina jamani mungu ambariki lakini ni atamlipa huyo hous boy na misos yake mana isije ikawa misada mizigo na misada ifike