Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SINTAH APIMA UKIMWI KWA MARA KUMI NA TANO

walitaka wanipe ushauri kwanza hapa
                             nikaanza kuwapa mimi sasa
walikubali matokeo
                  nikiwa na mshauri nasaha

why napima mara kwa mara?
Kenya miaka 3 iliyopita ili introduce kitu kimpya katika zile abreviation za ABC wao wakaongeza K
A=Abstenence
B=Be Faithfully
C=Use Condom
K=know ure status

nadhani jibu umelipata napenda sana kujua afya yangu
nilivyoanza huu mtindo wa kupima my relatives walikuwa wanashangaa sana jamani kwanini ujirushe roho nikasema hapana ni bora nijue ili nijue jinsi ya kuishi
sasa umekuwa ni mtindo wangu huwa napima mara kwa mara na uoga umeshanitoka
nasshukuru sana Mungu kwa kunisaidia maana ni ujasiri wa kipekee
sasa nimekuwa ni kihesabu na ni mara ya kumi na tano sasa
na wewe hapo usiogope kabisa,nilipoenda kwa mshauri nasaha akaanza zile zao unajua dada nikaanza kumpa lec mimi sasa na zote alizikbali, akasema wewe kiboko tena kiboko,jiamini jiamini

know ure status,

13 comments:

juliana deus said...

cna tabia chafu bt sio siri naogopa sana mhhhhh bt naamini ipo siku nitapima bt co leo wala kesho

Anonymous said...

Ni vizuri kujua status yako,lakini kwani unabadilisha wanaume kila siku?? nafikiri ni vizuri wewe na mwenza kuwa mnaliongelea suala hili kwani,mkishapima ni vizuri kuambizana kuwa kila mmoja wenu ajichunge au humuamini mwenzio?? i dont see the reason to do it that frequently.anyway its your choice but it smells fish!!! " you are beautiful"

Anonymous said...

Huwezi ukawa unapima mara kwa mara kama umetulia na huangaiki kwa mabwana tofauti tofauti...na hata kama una mmoja mnapaswa unapopima uende nae hapo ndo unaweza ukajiamini moja kwa moja.....na unapozungumzia suala la afya si ukimwi tu...kuna cancer, mauvimbe ya vizazi n.k...JE NA HUKO KOTE UNACHEKI...AFYA SI KUCHEKI UKIMWI PEKEE.

Anonymous said...

hongera sinta kwa ushauri wako mzuri.yani sinta kupima siogopi ila nachoogopa ni majibu noma.ila ipo siku nitajikaza tu.

jane bomba

Anonymous said...

good naipenda hio hata mimi huwa napima kila mara ila wewe umenizidi mbili tu conrats mara ya kwanza niliharisha kabisaa ule mharoo wenyewe from no whre wakati nasubiri majibu ila sasa siogopi tena

Anonymous said...

mmmh ni vizuri kupima lakini uwe makini na wanaume unaotembea nao kwani wote siyo waaminifu wewe mdau unayesema sintah anabadilisha wanaume kwani unajua historia yake au maisha yake?inawezekana wewe ndiyo wabadilisha sasa unajua na wenzio pia.siyo kila mtu anabadilisha wanaume bali ni kuangalia tu afya njia za kuambukiza ukimwi ni nyingi siyo mapenzi tu

Anonymous said...

Mie ni first time commenting hapa ila big up Sintah mie pia upenda kupima japo sio mara kwa mara but atleast mara 4 au 5 nishapima mara ya mwisho ni Aug 2011,kupima sio eti kwamba mtu hujatulia,na Sintah km ana mpenzi hawezi kumlazimisha wakapime ni maamuzi yake huyo mtu,HIV sio lazima iambukizwe kwa ngono,je mshawahi kupata ajali kwenye magari ya umma?hata uko pia unaweza kuambukizwa VVU,Anyway kupima ni muhimu sn wajameni tujitahidi kupima mtu anaweza kuambikizwa uku akiwa ametulia lkn mwenzi mpya akamuambikiza au hata wa zamani

Anonymous said...

me kuna m2 nataka kuanzisha nae mahusiano na katika masharti 2mekubaliana 2kacheki kwanza afya zetu na huyo mwenzangu anakuja end of dis month ili 2kapme, me co mhuni lakni as so far i hav been in other relationship b4 yan naogopa hadi cjielewi nifanye nn? pressure naiogopa, na mpenz namtaka.

Anonymous said...

Hongera sana Sintah, huo ni ujasiri wa hali ya juu. Kupima mara kwa mara siyo kwamba ni sababu ya uhuni pia inakupa kusema Noooooo kwa vicheche. Mimi mwenyewe mara ya kwanza nilipima nikiwa Uganda-Kyambongo University nilihisi kuhara hata mimi. Sasa baada ya kufanyiwa caling na kutolewa damu, niliporudi kuchukua majibu huwezi amini sikuona kiti mpk nikasisitizwa please sit down. Namshukuru Mungu hata mimi najiamini sana na ninapima ili kuhakikisha kuwa niko safi. Jane wa L

Anonymous said...

nadhani hiyo know ur status, haimaanishi upime mara 15 au zaidi, it means after knowing ur status then take action, yaani kama unao ujue jinsi ya kuishi kwa matumaini na kutumia dawa, kama huna ujichunge tena kama hauko kwenye ndoa ndo uache kabisa ukishindwa tumia condom. sasa wewe umenichosha kabisa, ujasiri wako ninaouona hapa ni wa kutotumia condom na wala si wakupima. please be serious

Anonymous said...

jamani wadau sintha amewaambia inataka kufahamu status yake sasa kwahabari kama yupo postive or negative nayake mwenyewe.hata wenye HIV huwa wanataka kufahamu virus vinaendeleaje naambao hawana huwa wanacheck kama wamevpata so all postive and negative they want to know their status

Anonymous said...

Unapima mara nyingi kwa kuwa unajua kuna sehemu mbaya ulikanyaga, au tumtaje yule wa Si

Anonymous said...

hello there and thank you for your information – I
have definitely picked up something new from right here. I did however expertise some technical
points using this web site, since I experienced to reload the website a lot of times previous to I could get it to load correctly.
I had been wondering if your hosting is OK? Not that I am complaining,
but slow loading instances times will very frequently affect your placement in google and can
damage your high quality score if ads and marketing with Adwords.
Well I am adding this RSS to my e-mail and could look out for much more of your respective intriguing content.

Ensure that you update this again soon.
Also visit my web-site - Status Symbols