Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

WADAU SOMENI KWA MAKINI NA UCHANGIE KISTAARABU MAANA NI MUHIMU

Wadau mimi hapa kuna mtu ananisumbua sana niitoe hii story nanyi mchangie
Jana katika kusaka habari za PS blog nilijikuta nikiingia katika mtego huu  wa kuamua kesi,kuna majamaa watatu walikuwa wakikaa na kusema mmoja Gf anaiga watoto wa mujini  style ya kutoka kila siku yaani full ku party,sasa kali kuliko huwa akitoka anamuaga hubby wake vizuri kwamba hubby mimi enda out with gal friends mara nyingine ni kikazi zaidi
Sasa huwa anampigia sana bf simu na huwa hapokei wakati wa usiku,na huwa wanagombana kwanini bf hapokei cm wakati hubby yupo kitandani
Sasa swali linakuja namna hii
Unadhani hii ni kwamba bf hamjali gf wake ndo maana anasema whatever,unajua mapenzi yana run dunia hivi kweli wewe kama bf,gf hajarudi kwao na usingizi unaupata kabisa?je kama akipata matatizo usiku na hupokei cm zake?au una mwanammke mwingine?kwakweli wanaume wa siku hizi hawaaminiki kama mtu amekuaga na anakupigia hupokei unamanisha nini?

Naombeni mchangie kwa kuelewa maada si kishabiki maana ni muhimu kidogo

Regards
jlo


46 comments:

juliana deus said...

pendeza wewe duhh mungu azidi kukuzidishia

Anonymous said...

c nawe ye alale nyumbani kwani lazima naye atoke???alaaaaaaaaaa.

Anonymous said...

huyo mwanaume hafai jamani hicho ni kituko

Anonymous said...

sintah hivi kweli si wewe maana unapenda kutoka sana

Anonymous said...

huyo mwanaume msenge

Anonymous said...

hivi jlo hukumkali uchi huyo aliyekupiga picha?

Anonymous said...

yaaani hilo si janaume bali ni gumegume

Anonymous said...

sintah mimi ninahisi ni wewe

Anonymous said...

i love u sintahh

Anonymous said...

sintah leo amani gazeti wamekubani mdomo wako hawajuw wewe una midomo mizuri

Anonymous said...

Nakupenda sana Jlo ila huyu mwanaume atakuwa msenge

Anonymous said...

hilio janaume senge

Anonymous said...

huyo mwanaume ana wivu anatakiwa amuelewe

Anonymous said...

wanawaume wasikuhiz wanapenda slope

Anonymous said...

huyo mwanaume hampendi huyo mwanamke

Anonymous said...

hilo limwanaume ni lisenge

lily said...

sintah huyo msichana anatakiwa amsikilize bwana yake

Anonymous said...

huyo mwanaume atakuwa hamjali huyo msichana anatakiwa asubiri mpaka arudi

Anonymous said...

Hao wote ni sawa, ngoma drooo hakuna cha kulaumiana by the way ni Bf na Gf, no commitment.
Mimi sioni mantiki ya hii story hata kidogo, usiku ni wa kulala, yaani mtu akafanye mambo yake huko ukae macho au usifanye mambo yako umuwaze yeye nani kasema! kulala kwenye kila mtu analala kivyake. Jamani muwe mnaomba ushauri kwa mambo yenye busara!

Anonymous said...

hilo senge tuu linalala ndani

Anonymous said...

sintah napenda midomo yako jamani

Anonymous said...

huyo atakuwa msenge na kama sio msenge basi hampendi mwanamke wake

judy said...

atakuwa ana mwanamke mwingine

Anonymous said...

hilo ni lisenge lisilotaka kutoka na mwanamke wake

marium said...

wanaume wasenge,wanaume malaya,wanaume wabahili fuck them all

Anonymous said...

...KUNA KITU MAZOEA! WIVU AU NDIO ANAIBIWA...mazoea yanakuja pale umeshazoea mwenza wako ye kutoka usiku ni poa tu so huwezi kujinyima usingizi kila siku kwa kukungoja wewe uliye katika starehe sijui kazi zako...kama ni matatizo hata mchana yapo!
WIVU.... ukute mwanaume ana wivu sana so anakuruhusu kwa shingo upande na unapompigia naona kama unamsanifu tu! anaamua kukuweka pending makusudi kukuumiza roho na pengine akitarajia utaacha kuwa mutoto wa mujini nawe utulie ndani...aaah jaman kazi za usiku kila siku khe! olewa basi na mlinzi wote muwe kazini

usaliti...hapa napo panahusika ukitoka kuna mwenzio analetwa! na kwa kutotaka usumbufu ndio anakuminyia simu....cha msingi hakuna haja ya kumtukana mwanaume coz kiasili mwanaume ana silka ya domination! kama mna future na huyu mtu kaa chini mtafute suluhisho aidha muende wote, au punguza starehe toka inapobidi kutoka sio sasa 24/7 wewe kila siku usiku au mrudie ghafla siku moja uku ukiwa unampigia ujue kwann hapokei....

ni hayo tu!

Laura

Anonymous said...

wanaume wasenge wote wewe endeleza raha
hilo limwanaume si mzuri anatakiwa awe karibu na gf wake

Anonymous said...

hilo lisenge sana jamani linainamishwa

Anonymous said...

yaani huyo mwanaume hamendi huyo msichana kazi yake kutaka uchi

Anonymous said...

fala hilo

Anonymous said...

mimi nafikiri huyo mwanamke hana upendo wa ukweli

Anonymous said...

hilo li mwanamke linafuata K tu

Anonymous said...

hilo senge

Anonymous said...

huyo demu aachane nae

Anonymous said...

fala hilo na huyo demu hajatulia

Anonymous said...

kwa upeo wangu hizi comments mbona zinafanana sana as if mtu mmoja ametuma comments kama tisa hivi au kwa ajili nimelewa saa hizi hahaha

sinta hizo nywele umenunua wapi na nani amekutengeneza hebu nielekeze au nipe no ya hizo nywele yani utafikir natural nywele za kibantu kabisa ila zimenyooshwa sipendi kuweka nywele za hihindi naonekana fake as hell hahaha

kizuri kula na uwapendaye kama mie jlooooooo wetu wa bongo oyeeeeeeeeeeeee


skinnygal

dina said...

hiyo story ni yakwako ila umeamua kutumia kwa niaba ili isijulike ni wewe ungetuambia tu moja kwa moja ili tukushauri vizuri na unafikiri huyo mwanaume anajisia vizuri wewe kila siku kiguu na njia kula starehe kama unampenda boyfriend wako kwanini usitoke nae

Anonymous said...

lol.. hapa umejisemea mwenyewe pole wee!

Anonymous said...

Kwa kweli mapenzi nikusikilizana na kuelewana na sioni sababu ya mtu kutoka bila mpz wake halafu iweje mtu akose usingizi kwa starehe zako. Cha muhimu wewe unastreheka mwache mwenzako naye alale kwa raha zake.Kuna mtu nimechunguza kila saa anarudia rudia ku comment akisema msenge ila nikushauri tu siyo Msenge ni kwamba hata yeye hiyo tabia ameichoka na ujue hana future na wewe. Mwanaume mwenye future na wewe hawezi akakuacha kila siku ku party tu ilimradi. Nadhani wewe mwenyewe ndo utakuwa msenge

Anonymous said...

Mimi naona mwanaume hajatulia ana wanawake nje hivyo hspendi kwenda na gf wake anapenda wanawake wa nje. wanaume tulieni na wanawake zenu magonjwa mengi

Anonymous said...

Mwanamke hana mapenzi ya kweli na huyu mwanamke ni punguani hajui nini maana ya kupenda. Mwanaume yuko sawa kabisa.

Anonymous said...

Huyu ni Sinta mwenyewe.

Anonymous said...

jlo, huyo msichana asidhani huyo kaka ana moyo wa plastic ambao asikii maumivu, hayo yote kayasababisha yeye mwenyewe, ku party gani kila siku unamuacha bf wako home, kwani hata kama unatoka na frnds zako ndo kila siku jamani? hata yeye hana mapenzi ya dhati.

jlo said...

wewe unaeshadadia ni mimi unanichekesho,aliekwambia mimi huwa nafanya hivyo ni nani?hubby hapendi kutoka nimlazimishe?yeye anajuaga ninapoenda na ana uhuru wa kuja kunifuata anytime akijisijikia
so tafuta lengine la kusema

Anonymous said...

tuwekee pic yako na hubby wako basi dear sinta,mm nakupendaga ulipotelea wapi cjui

Anonymous said...

HIVI HUONI AIBU KUJIITA JLO KWA NINI USIKUZE JINA LAKO PAKA LIKAKUA KAMA LA JLO, INAONYESHA NI JINSI HUJIAMINI KAMA SINTA NA KUONA NI BORA UCHUKUE JINA LA MTU MWINIGINE MWENYE MAFANIKIO ILI UKUBALIKE. HUJIAMINI.