Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MAMBO YA KUZINGATIA UKITOKA


hapa nikiwa busy ninawambia watu bidae

hapa niliamua kuzima kabisa


Tips za kutoka

kuna watu wengi hawajui nini maana ya mitoko
kuna mitoko ya aina nyingi lakini leo nitazungumzima mitoko ya aina 3

MUME NA MKE/BF/GF
ukiwa umetoka na yeyote katika ya kich
wa cha habari hapo juu pse there is no need of carrying a phone,maana mtakuwa katika faragha ya kuongea mambo yenu shosti atapiga cm na kutaka umbea
angalieni sana mnapotaka na hubby zenu
muhimu usibebe simu

2.Dinner
ni sehemu ambayo  huwa imeandaliwa kwa utulivu zaidi hata chakula chake kikiletwa huwa kinashuka taratibu sana hivyo haihitaji interuption ya hapa na pale,hii inaeza kuwa romantic dinner ama marafiki tuu

3.Cocktail and organised parties
mtu akikwambia naenda katika coctail au formal parties jamani acheni sana kutuma tuma extreme msg zenu,unajua pale ana concetrate katika shughuli sasa kuna mtu yuko huko home or wherever hana kazi maalumu ya kufanya ana amua kuchat chat tuu hajui au saa nyingine anajua ila ufaham ni mdogo
kuweni makini na hayo

juzi nilienda katika cocktail ya Brazil Embassy jamani kuna watu walinisinya sana kila saa msg kila saa na niliwambia nipo katika party hebu fikiria balozi anatoa speech mimi niwe busy na msg kwa kweli
hii ndio ilinifanya niandike hii na pia wasiojua wajue from now

ciao
jlo

8 comments:

Anonymous said...

UMBEA NDO WAFANYA SIMU IWE BIZE MARA KWA MARA, INATEGEMEA TYPE YA MASHOGA ULONAO WA MUIMU WATAJUA WAPI UPO HAWATAKUSUMBUA ILA UKIWA NA MASHOSTI WA AJABU TARAJIA USUMBUFU. BF,GF, MKE, MUME NI WATU WAMUIMU TENA SN SN ILA SIMU SITAZIMA JUU U NEVA KNW TAARIFA YOYOTE YA MUIMU HASWA YA KIFAMILIA YAWEZA KUTOKEA AFU UKAHITAJIKA WE SIMU UMEZIMA NA KM UKIWA MAMA AU BABA NDO KBSAAAAAAAAAAA UKITOKA SIMU HUZIMI HATA IWE SEHEMU GANI CHEZEA MTOTO WEWE

Anonymous said...

hapo jlo mie nakataa kama ukiwa na date na mumwe ama boyfriend wako uache cm hahhaha jamani kama ndo mie hapa hatonielewa kila nikitoka nisitoke na cm mhh hata kama nimie lazima shaka nitatia

muhimu niwe na cm kwani cm ni kitu muhimu sana nasio kitu cha kukiacha nyumbani muhimu nikifika huko atleas nipunguze sauti au iwe silent au hata niweka kwenye koba huko , waboy friend zetu wenyewe hawa wa kibongo hahahahha mara kaingia mitini hata cm ya kumpigia jlo aje kulipa billz huna haaaaaaaaahahahah

skinny gal

Anonymous said...

alafu uashaanza kubania comments sinta!

nimekuuliza hivi hizo nywele umenunua wapi?na bei gani maana nimezipenda sana zinaonekana kama natural vile na mi hivi na .............. nikiweka hizo mbona watajua ndo zangu hahahah

leta jina bana tukanunue nasie tupendeze zamani watu ndo wakiuulizwa wigi lako umenunua wapi mtu anakasirika ila now dayz kuweka nywele za bandia ni kitu cha kawaida!

skinny goes to chabbi gaL

Anonymous said...

Umependeza na ngozi yako inawaka hadi raha. Share na wadau wako basi unatumia nini hadi una ngozi nzuri namna hiyo.

Anonymous said...

Sinta bado hajiamini katika masuala ya urembo...ila blog nyingine wako wazi kabsa kuwaeleza watu wanachopaka, wamenunua wapi, vinaitwaje..LAKIN SINTA HANA CONFIDENCE YA KUONGEA HAYO..SIJUI ANAHOFIA ATAPONDWA NI VYA BEI RAHISI....MANA ALISEMA HAPAKI MAC LAKIN PIA HAKUSEMA ANAPAKA NINI NA AKAMTAJA ANAEMPA USHAURI LAKIN ASISEME ANAPATIKANA WAPI HUONI PIA KAMA UNAWABANIA WATU RIZKI ZAO....PENGINE UNGESEMA WAPI ZAPATIKANA WADAU NA WAO WANGEENA KUNUNUA.....ACHA HIZOOOOOOOOOOOOOOO LOL....

Anonymous said...

KUHUSU KUZIMA SIMU NI USHAMBA LABDA UWEKE SILENT ATLEAST NA UWEKE JUU YA MEZA KILA ANAEPIGA UNAMUONA NA UNAJUA HUYU MUHIMU NA HUYU SI MUHIMU....JE KAMA NI HOUSEGIRL WAKO ANAKUPIGIA KUKUFAHAMISHA HATARI YOYOTE ILIYOPO NYUMBANI NA KUNA WATOTO? YANI DINNER TU INIFANYE NISIWE RESPONSIBLE NA FAMILIA YANGU....AU WEWE NI MSHAMBA WA KUPATA DINNER OUT???....HATA HAO MNAOWAONA WAMESTAARABIKA NAO MUDA MWINGINE ANAOMBA EXCUSE NA ANAENDA WASHROOM KWA SIMU MUHIMU...UPIGIWE SIMU MWANAO KAUNGUA SIMU HAIPATIKANI DADA HANA HATA PESA YA TAXI KUMUWAHISHA HOSPITAL UNAPIGIWA SIMU HAIPATIKANI MATOKEO YAKE DADA MTOTO AMFIA MKONONI...KISA DINNER DINNER, OUT OUT YA MAVI.

Anonymous said...

sio lazima uzime simu.simu unaiweka silent basi,you never know,kuna vitu vyengine muhimu.baada ya unayoyafanya,unaangalia msg zako,au miss call zako

Anonymous said...

ni vizuri kuwa na faragha ila la kuzima simu kidogo ni gumu coz lolote linaweza kutokea ila ni kuwa makini kwa kuweka silent au vibration na ukawa unapokea zile simu ambazo zina umuhimu kwa wakati huo.