Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KULA NA STAR

wakati utakuta mtu mwingine akikandia ma star,wengine wanasifia and they r dying to meet them,wiki hii katika gazeti la Amani niliitwa nile na mmoja wa mashabiki wangu,maana ninao wengi lakini alitakiwa mmoja tu
nilipofika sikujua hili wala lile,nikakutana na kijana patrick na akisema ananikubali sana na angetamani awe kama mimi
sasa wewe hapo unaejifanyaga unanikandia mara ooh star bongo,sijui vile na vile ni nini mbaya jamani
najua japo ulipo unatamani uwe mimi nami niwe wewe,ila haiwezekeni its God creation
kwamba wewe ni wewe nami ni mimi
usijikatae jamani coz you have got unique ambacho mwingine hana,
jipende

                               nilipoinigia
                    my favourite food

                         huyu ndie mmoja wa mashabiki wangu
         

                  madam jifunze table manners talk to much


wiki ya juice tuu kwangu

patrick &i
                          


shukurani kwa Musa Mateja kwa maphotoooo


 

12 comments:

Anonymous said...

ukianzia na swala la kujikubali,t should start wth you kwanza,why would u want some ones identity?like Jlo,Kim...whatsoever,your name suits you and not otherwise,ever heard Jlo calling herself Sinta?maake unawaambia wenzio wasitamani kuwa wewe coz ua always busy convicing people Jlo wewe..
otherwise u looke great na ulipendeza..and ua uniqe nothing in u z like Jlo,she z ov her own character as well...

harrieth said...

wewe jlo ni superstar hupendi kuandikwa ila wanakuandika

Anonymous said...

we love you sintah

Anonymous said...

Ugali na Uma?? Mmmh au ndio Ustar!

Anonymous said...

kabla jujajishaua tena pls, jifunze jinsi ya kukamata folk na knife, plus huyo unoluka nae,

big lesson needed,

Anonymous said...

Jipende wewe mwenyewe kwanza, maana yaonekana hujiamini. Mbona mwenzio Khadija anatumia jina lake ingawa ni nick name. Sasa wewe mdada kwanza hata jina ulilopewa na wazazi wako ushalitupa kule, umeng'ang'ania jina la character wa plays ulizokuwa ukicheza. Kwanza ushasikia wapi mastaa wa ukweli wa majuu wanajipachika majina ya characters wa movie wanazocheza? Ukianzia kwa Angelina Jolie, Jenifer Aniston, Whoopy Goldberg, Kate Winslet, mpaka huyo JLO mbona hawabaki na majina ya characters wa movie walizocheza? Kwa sababu wako real wanajipenda na kujiamini.

Na mtu yeyote mwenye kujiamini hana wasi wasi na jina lake halisi kwani kama ipo ipo tu lakini kubadilisha majina ni dalili ya kujikataa na kutojiamini na pia kutowapenda wazazi wako maana hujui walikupa hilo jina kwa maana gani na mapenzi makubwa waliyonayo. Yaani mie mwanangu siku akinijia na jina la kuokota barabarani sijui nitakuwa disapointed kiasi gani yaani wee acha tu!

Anonymous said...

acha kucomplicate life we mchangiaji wa kwanza, kama kajibandika jina si yeye kisa cha kutoka mishipa ya shingo? ye anaona linamfit sa ndo nini, watu wengine na mistress ya huko ughaibuni, sio siri huyu sinta ni mzuri bwana tuseme ukweli ila anatakiwa kuwa na focus ya maisha, waoneni wenzenu kina kim wa majuu wanajibidiisha kuchakarika kutafuta pesa kwa uzuri wako huo na ngozi yako hiyo chochote ukifanya bongo unauza kazana sasa sio kuuza sura kwenye mablog chezesha akili sawa mama....mie napita tu...

Anonymous said...

wadau nina maswali mawili naomba mnisaidie:
(1) naomba definition ya "star", na sifa za star ni zipi?
(2) Je mtu anaweza kujiita star yeye mwenyewe au watu ndio wanaomtunukia/ kumwita yeye star?

Anonymous said...

nimeipenda gauni yako,

Anonymous said...

Christine uliitwa JLO sio kwa kuwa unafanana sura na JLO bali kwa kuwa kwa wakati ule ulikuwa na tabia kama za JLO! habari ndio hiyo!

Anonymous said...

Kweli nakumbuka those days Christina alikuwa mapepe ndio maana akapachikwa hilo jina. Otherwise hamfikii hata nusus real Jlo walifanana tabia tu

Anonymous said...

kweli we mzuri lkn usishauri watu wajikubali walivyo wakati wewe haujikubali,,,check picha zako zote ulizopiga umesimama lzm ukae upande upande na ukiangalia mbele lazima upishanishe miguu,,acha kuficha tege la V hilo nani asiyekujua kwamba miguu yako inaumana hapo kati?jikubali tu,huwezi kupewa vyote mamaa