Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MAONYESHO YA PICHA YA AMRIK YAFANA JIJI LA DAR

IMG_6493.JPG

  Balozi wa Brazil nchini Mh. Francisco Luz akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya "AMRIK" yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Ubalozi wa Brazil, Taasisi za nchi za Kiarabu  na Aga Khan. Ambapo Balozi huyo amewapongeza walioshiriki maonyesho hayo. Maonyesho hayo yenye lengo la kuhamasisha ushirikiano kati ya Wabrazil na Waarabu yalitarajiwa kufanyika wiki iliyopita lakini yakaahirishwa kufuatia ajali ya kuzama kwa Meli ya MV SPICE ISLANDER iliyotokea huko Zanzibar.Katikati ni Balozi wa Umoja wa Falme za nchi za Kiarabu nchini Bw. Mallalla Mubarak Al-Ameri na kiongozi wa Mabalozi wa Kundi la nchi za Kiarabu na Kushoto ni Mwakilishi wa Mtandao wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Aga Khan Bw. Navroz Lakhani.

  
                                                                Team work

                               Us ambassador in Tz with Ms lucy
                                          hiki ndicho kilichonipeleka


                                
                      lucy,Sintah&Deputy head of mission


balozi wa nchi za falme za kiarabu bw Mallalla Mubarak

wageni wengine walioalikwa katika ghafla hii


                     classic women Ms Patricia with lucy and Sintah
Lucy and Big boss


               Safari moja huanzisha nyingine Hyatt Regency former Kempiski here we come (level 8)


                           yangu capchinnokwaherini
; shukrani kwa Mohamed Dewji na vijana wake
17 comments:

Anonymous said...

Sinta ongeza juhudi utafika mbali.

jane bomba

Anonymous said...

keep it up sinta.utafika mbali

jane bomba

Anonymous said...

please sinta usibanie comments zangu banaaa.luv u.

jane bomba

Anonymous said...

nimeipenda hiyo chai.i wish one day niende hapo kunywa chai 2.

jane bomba

Anonymous said...

wapi hii jlo?

Anonymous said...

Niunganishe na wazungu hao, mimi napenda wazungu. Haya nafasi ya kuwa nao karibu sipati.

Anonymous said...

hivi wewe Sintah weewe huwezi ulia jamani maana lazima upitie sehemu

Anonymous said...

Bf wako anakazi kweli kweli ninamuonea huruma

Anonymous said...

mpaka balozi wa marekani nimewakubali.

Anonymous said...

mi nakukubali sana dada Sintah,ni msanii gani anaweza ku mingle na hao watu katika special occasions?

Anonymous said...

waache tuu waongee maana mambo kama hayo yatawakuta lini itabaki kuwa hadithi
wewe peta jlo

juliana deus said...

mamaa jlo pana chezea wewe mhhhh ukooo juuuuuuuu bana hahaah habari zenu bana chupi zinabana mama kaza byutiiiiiiiiiiii

Ms.Ald said...

Samahani sinta, nakupendaga sana!
Unaweza kutupa historia yako ya upande mwingine wa maisha.? Kama vile, 1.Una mume? Una watoto? 3.Unaishi wapi?4.Unafanya kazi wapi/gani?5.Tuliwahi kusoma kwenye udaku kuwa uliolewaga, ni kweli n. k . Mastaa wengine haswa ma bloga wao maisha yao yako wazi kama vile Mange, Shamim,Dida,Ladyjaydee n.k. Please tujuze kwani tuta-enjoy zaidi

Anonymous said...

vijino pembe roho zinawauma eeeh!.

jane bomba

Anonymous said...

Yaani mi naona Sintah kwavile umeamua kuweka maisha yako wazi basi sio vibaya ukituonyesha unaendesha gari gani..........huwa unani-inspire sana sasa nataka kuona gari yako ili niwe more insipired.

Anonymous said...

ila hata mimi napenda kujua back ground yako

baby ya.... said...

heee sinta kumbe nawewe siku hizi unaendaga kempisiki,du kweli bongo noumar,sasa mbona pale juu hukupiga hata picha ya pamoja na balozi wa us bongo?ingekusaidia sana na wewe uwe mbele