Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KAMA SI WEWE MDAU WA HII BLOG NISINGEFIKA HUKU,NAKUSHUKURU SANA

Dear Christine,Sintah
 
We have tried to visit your blog and We are interested with it.
Hence We request you to advertise our (Company Equity Insurance Brokers Ltd) in your blog.
 
Our Address  as shown in our brochure is:
5th Floor, Luther House
Sokoine Drive
P.O.Box 2900
Dar es Salaam.
Tanzania
Tel: +255 22 213 4200;    + 255 73 299 5171;    Fax: +255 22 2122171;    Mob:  + 255 754 264559
 
We have attached our Brochure for your action.
Thank you in advance.
 
Alphonce Shayo
Director of Operations
 
EQUITY INSURANCE BROKERS LTD
 
 
nakushuku sana mdau wangu kwa kunipa mashavu haya jamani aliyepewa amepewa ni riziki ya mtu tu
niko kikaangoni nao nijue itakuwaje
soon they will be official sponsors wa PS  blog
luv you loads
 
sema basi hapo i love you too jlo na thanks kwa kutupenda
 
 
 

6 comments:

Neema said...

Sintah ndio maana tulikwambia usijibishane na mtu mbona utapata mengi tuu wewe ndio sintah bwana hapana linganisha na mtu yeyote
hongera jlo

Anonymous said...

Sintah...no offense ila tafuta camera nyingine ambayo itaweza kutoa picha vizuri......angalai vizuri picha zako zinakuwa kama zina ukungu.....ni mawazo ya kuboresha tu blog...usichukulie nina hate...

Anonymous said...

Sintah mimi huwa nakupenda sana dada yangu ulipokuwa kwenye muvi ulikuwa unafunika sana na sasa huko juu hongera jloTz

Anonymous said...

dada sintah kaza buti unatisha sana kama osama hadi umeamua kuwaweka EQUITY INSURANCE kwenye blog yako, maana EQUITY INSURANCE BROKERS is the best Insurance Broker hata mimi nimeinsure magari yangu kwao, EQUITY wako juu na sio wababaishaji kama broker nyingine za kisanii ambazo ikitokea claim haulipwi, but I TRUST EQUITY AS THE BEST INSURANCE BROKER IN TZ.

Anonymous said...

Hongera wewe na sisi...sasa sinta kwenye kitchen party mbona sikumuona Zeze na ulisema mtakuwa wote?? au ndo hakukuaga!!..huwa unaongea tu bila kujua mipango ya watu...halaf inaonyesha kuwa unajipendekeza nae tu lakin wala si shoga yako.

Anonymous said...

Zeze yupo kwa Obama jamani au hujapitia blog yake?