Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MERCY JOHNSON AND ODIANOSE OKOJIE WHITE WEDDINGMERCY JOHNSON SI JINA GENI KWA WALE WADAU WA

FILAMU ZA KI OGAA NA CHINEKE

HUYU BINTI ALIPENDA SANA NDOA YAKE IFUNGWE

MAPEMA LAKINI GUBE GUBE LILIOZAA NA MUME WA

MERCY ALIPINGA KWANZA KANISANI

LAKINI PASTOR BIDAE AKATUPILIA MBALI SWALA LA

LOVELYNE (ALIYEZAA NA MUME WA MERCY)

SIJUI MDADA HUYU ALIAMBIWA NA NANI MTU UKIZAA

NAE ANAWEZA KUPINGA MWENGINE ASIOLEWE

NA ALISHUSHUKAJE??

MAANA SASA NI MERCY JOHNSON OKOJIE

2 comments:

Anonymous said...

jamani sinta hebu mkanye lulu anavyofanya sio vizuri kukashifu watu kwenye facebook....mkanye kama ndugu yako n.k.

Anonymous said...

wewe ni mwanamke unamwita mwenzio gume gume wakati wanazaa hukuwepo, ni kweli mapenzi hayalazimishwi ila omba hiyo hali isikukute au isimkute mtu unaempenda kama mwanao hivi,kwa taarifa alifunga nae ndoa kabisa,we muwish huyo mercy maisha maruey ya furaha ktk ndoa yake na yaliyompata mwenzie yasimkute au na ye utamwita gume gume