Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

MIEZI MITATU YA PS BLOG SAMBAMBA NA EID MUBARAK

                                                       

                                                  heri ya sikukuuu from sintah
                                    
WADAU WANGU NI MIEZI MITATU TANGU NIANZISHE HIKI KIJIWE CHETU


NASHUKURU MUNGU MMENIPA CHANGAMOTO KUBWA SANA NA MENGI


NIMEJIFUNZA KUTOKA KWENU,NASHUKURU SANA KWA UPENDO WENU ACHILIA


MBALI WANAOTAKA KUHARIBIA WENZAO SIKU NA NK, HAO NI WATAJIBEBAA NA


KUJIANGUSHA SISI TUNASONGA MBELE


HAPA NI MWANZO TUU BAADA YA MWEZI UTAONA MABADILIKO MENGI TUU


NASHUKURU PIA DINA MARIOS,JAY DEE,PAMOJA NA MY BRO FROM ANOTHER MOTHER


MROKI(FATHER KIDEVU)SEIF NA WENGINE WENGI KWA SUPPORT


UCHUMI SUPERMARKET,PROTEA HOTEL AND MAFIA LOUNGE GOOD JOB




NITAKUWA MCHOYO WA FADHILA KAMA SITOMTAJA DENNY DENNYO,LUIZA ZENA,FUJI MSAFIRI,KOKU


PAMOJA NA LAMECK KWA SUPPORT YENU TOWARDS PS BLOG


KWA KWELI MMNENISAIDIA SANA MUNGU AWE NANYI


KWA WADAU WANGU MIMI PENDA NYINYI SANA TUU COZ YOU INSPIRE ME IN


DIFFERENT WAYS JUST THAT YOU CANT SEE IN MY HEART


THE WAY YOU COMMENT,URGUMENTS JUST PART OF LIFE, HOPE SOMETIMES YOU DONT TAKE IT SERIOUS


NASHUKURU WALE WALIOPENDEKEZA PIA KUWA WANAPENDA KUANGALIA MY BLOG KTK BLOG YA DINA LAST SATURDAY
I WAS SO HAPPY KUWA PART YOUR  LIFE


KUNA VITU VINGI SANA VINAKUJA KUHUSU PS ESP IN MOVIE INDUSTRY


SINA MENGI YA KUSEMA ZAIDI YA KWAMBA MUNGU TUPOKELEE SALA  NA FUNGA ZETU


EID MUBARAK MY LOVELY WADAU


FROM SINTAH JLO OF TZ




                                                    Hapa swaumu ilinishikaa kweli                       



                                                    lovely me                

11 comments:

Anonymous said...

PS blog hoyeeee! Mungu azidi kukupa nguvu na wewe za kuiendesha na kuipa PS blog many more years to come! Hata kama wengine hatucoment kila siku, but we are happy just to read this blog each day, it brings a smile on our faces! Mwendo mdundo, and we are together all way thruuu!!
Luiza

rachel said...

ahsante PS ila umekua mdogo jamani mweee tumbo lote kwishne itabidi ufunge na sita kabisa.... pole na swaumu lol miss u, xxxxx

sintah said...

thanks wapendwa nanyi Mungu awazidishie

Anonymous said...

Ha ha ha ha! Usitake ncheke mie. Eti JLo wa Tz!????????? Be real woman. Why don't you be yourself? Do you think you will be so special if you associate yourself with JLo? Huna cha u-JLo cho chote. Humfiki JLo hata kwa 1.5%

Mariam said...

I love you Sintah........naipenda na blog yetu pia

Mariam

darstockholm said...

ur so cute sintah acheni ubinafsi nyie wengine kwani mbona kuna wachezaji wa bongo wanajihita canavaro na wakati anaitwa nadir haroub inamaana anamfikia kwa kiwango? au yule mwimbaji wa aliekua wa twanga anajiita ferguson unadhani kocha wa man u yeye anaimba mpaka ajifananishe nae?hii inatokana na mapenzi tu juu ya mastaa hao mtu unaweza kujipa jina lake.Na hata ukirudi ktk ubinadam mm naona ni sawa kwani huyo jlo anamiguu na mikono kama sintah pia.

Nelson said...

Hello! My first visit, will visit you again. Seriously, I thoroughly enjoyed your posts. Congratulations for your work. If you wish to follow back that would be great I'm at http://nelsonsouzza.blogspot.com
Thanks for sharing!

jlo said...

darstockhom achana nao my dear wataongea mchana usiku wataingia kitandani walale
there is only one recognised jlo by media and everyone and that is SINTAH
no kubisha kama unabisha nenda ktk gazeti lolote eti jlo wa Tz ni nani watakujibu mammy SINTAH
ukiendelea kubisha go and hang yourself because i will continue to be jlo TZ
copy,paste and save this
darstockhm wish u Eid njema
Nelson your most welcome to this blogspot more r coming
thx for visit may good Lord rewards you

Anonymous said...

Shosti hakuna "broher from another mother". Kama mnashea baba/mama ni half brother au kama ni unaishi naye but hamjashea blood ni step brother. Itoe tafadhali tofauti na hapo utaiona pengine.

jlo said...

shosti kumbe wewe hujui huo ni msemo tuu ndugu yangu au hujawahi kuusikia?

Anonymous said...

we ndo tutakuona pengine sio muda v2 hamvijui mwakurupuka lol AIBUUUUUUUUUUU