Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

POOR SINTAH,OOOH HER BLACKBERRY IS SPOILT

KATIKA SIKU AMBAYO NATAKA IPITE NI SIKU YA LEO

KWANZA POLENI SANA MY WADAU KWA KUCHELEWESHA HABARI

JLO TZ NINA HANDSETS MBILI(SIMU)NTERNATIONAL  NA LOCAL

SASA INTERNATIONAL JANA IMEINGIA  MAJI

MSIPATE PICHA JINSI HAPA NINAVYOANDIKA HII HABARI NAJISIKIAJE;;;YAANI HORRIBLE

INTERNATIONAL SIMU NDIO ROHO YANGU
LEO NIKO VIBAYA SANA WADAU NIOMBEENI ILI NIRUDI KUWA NORMAL

UZURI HUWANINAKUWA NA SIMU YA AKIBA TUU INAYOKAA KWENYE DROO(NOKIA)SASA NDIO IMEOKOA JAHAZI LEO

ILA NINAMISS SANA BBM NDIO KINACHONIUMIZA KICHWAHAPA NI STORI ZA BBM

NIPENI POLE MWENZENU NA NIOMBEENI NIPATE NYINGINE                                              JLO TZ

26 comments:

juliana deus said...

pole sana mumy utapata nyingine

Anonymous said...

what a crap!!!???

Anonymous said...

Mungu mkubwa, anampango wa kukupa bab kubwa, we subiria uone!!

Anonymous said...

mashauzi mengine wala hayapendezi. eti oh nina simu international na local! lol! mbona bongo wa simu zaidi ya 5 hawasemi. unaonekana umeishiwa topics.

Anonymous said...

yaani wewe Sintah unajisikia sana sasa International na local jamani

hivi wewe shukuru Mungu nimzuri ungekuwa mbaya.....

Anonymous said...

unachekesha sana labda bb ya kichina

Anonymous said...

unajishauwa sana wewe demu

Anonymous said...

hivi ?eti iwewe dada una akili kweli mmmh hio international na local ndio vipi tuelezee

Anonymous said...

yaani sintah ndo ninapokupendea hapo huwa hujali yaani waambie wambie kabisa wakome
wanakuonea gere
sasa kama unazo mbili zinawa washa nini

Anonymous said...

jamani kasema ukweli na kaamua kushare maumivu yake na nyinyi. mbona hamtaki mwenzenu aseme ukweli? pole mwaya utapata nyingine.

Anonymous said...

unajishauwa sana jamani loooh hata kama ni star hapo umepitiliza
international ni ipi na local tuambie

Anonymous said...

muacheni jamani kinawawasha nini?mbona hambebeki

Anonymous said...

yaani jamani mwacheni jlo wetu wa TZ mtoto manshallah

Anonymous said...

watajibebaje jamani??kashawaambia waulizeni global publisher wanajua kwanini walimuita jlo
ni kweli jlo wetu jamani

Anonymous said...

nina kila sababu ya kumkubali Sintah kuwa ni jlo
hachuji kabisa ila dada yangu punguza unene kidogo
goood jlo wa bongo uko juu kama muashoki
pole sana kwa swala la simu

darstockholm said...

Pole mtu wangu mda mwingine mungu anakuletea shari na kheri inakua ndani yake kuwa na subra na shukuru may be kuna zuri lipo mbele yako zaidi ya hiyo simu.

Anonymous said...

tutasonyaje. International local.

Anonymous said...

acha kujipa ujiko wewe*****eti jlo wa bongo mh****then umeibiwa au imekuwaje hiyo simu yako ya mchina dnt worry kumbuka uliipataje then rudi kwa aliye kupa baada ya ku**** atakupa nyingine mchina kama ile.

Anonymous said...

Tetete pole mana hiyo nakumbuka uliongwa sasa du inabidi ujipange upya umtafute mwingine akuonge poor sinta keep trying u gonna make it

Anonymous said...

pole mammy Mungu atakusaidia utapata nyingine,jlo wetu wa Bongo
wakatae wasoikatae watajibeba wewe ndio jlo

Anonymous said...

Kama inawaumia yeye kuandika iyo mliingia kwenye blog yake kufanya nini??? mwacheni mwenzenu hajawaita mmejileta

Anonymous said...

nakumbuka jina la JLO wa bongo lilikuja baada ya kubadilisha mabwana ndani ya muda mfupi na kuwa na mabwana tofauti n.k..hilo jina sasa hivi linamfaa wema sepetu......

Anonymous said...

Mh kwa blackberry gani.wakisema watoke itatoka unaniboa wewe demu mbona unajishaua sana jamani watu tuna sanding galaxy tupo kimya

Anonymous said...

mmh kwenda zako kule jlo utakua ww? mashauzi 2 yamekujaa

Anonymous said...

JLO my asssssssss......ukome!!!

Anonymous said...

pole......maybe you gone get anoother nice phone than thwt so just chillaxx.......