Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

SIPATI PICHA DECEMBER SINTAH'S VACATION ITAKUWA HAPA,MMMH CANT WAIT

yaani boat lipo kwa juu
muonekano wake
jinsi ma mimi nitakavyokuwa naogelea hahaaaa


YAANI MUNGU ATUWEKE HAI NA MIMI NIFIKE HII SEHEMU MWEZI WA DECEMBER KATIKA MY VOCATION MAANA JUZI JUZI HAPA ILITANGAZWA KUWA SEHEMU YA MAAJABU SABA YA DUNIA,NAMIMI NIMEPENDA SANA HII SEHEMU
DECEMBER FIKA HARAKA PS NAE AKAJIONEE MAAJABU HAYA,MAANA PICHA ZITAPIGWA KILA KONA

CANT WAIT,MUNGU NIBARIKI

18 comments:

Anonymous said...

Vocation?????????????????????????????? msaada kwenye tuta

Anonymous said...

its vacation! ni typing erro nadhani.....kwani hapo ni wapi sinta...uwe unatutoa tongotongo basi na wenzio.

sintah said...

Hapo ni Singapore hivi juzi tu hii sehemu ilitangazwa kuwa one of seven wonders of the world maana ni boat ya kipekee sio sisi tuu hata wenyewe wanashangaa sana si unajua kwa mthungu kila kitu kinawezekana,wameshindwa kutengeneza roho tuu ya binaadam

ps

Anonymous said...

Sintah jamani mimi hapa nilikuwa napanga niende vacation mwakani February, nikawa najiuliza niende wapi, nikawaza mara Dubai ila nikaona kama hapana, nikawaza UK nikaona hapana......ila sasa umenipa wazo zuri sana......na mimi Mungu akiniweka hai mwakani nitaenda huko nikashangae kidogo......unaweza kujua air fare ina-range wapi ili nijue najipangaje? Ntashukuru kama utanijibu

Mariam

Sintah said...

yap wangu vacation ni muhimu haswaa,maana unapata stress everyday
cha msingi nenda ktk airline au travel agents waulize return ticket ni sh ngapi ya Singapore then other details on how to get the place nitakupa if your serious
all the best
PS

Anonymous said...

Yes my dia niko very serious. Stress kila kona si kazini si nyumbani,nimejionelea isiwe tabu acha nikafurahie hii dunia Mungu aliyotupa.

Asante kwa kunijibu, nitaulizia halafu other details nitakuuliza via email. YOu have such a great heart Sintah. Thank you.

Mariam

juliana deus said...

mmmmh wengine naona kaburini mana hata nikisema niende vocation nitaishia msasani hahahahah au bichi za kigamboni

Anonymous said...

Sintah Mungu atakusaidia tuu na utaenda ni kujipanga kuwa na amani

Anonymous said...

mbona december mbali au sasa hujapata michongo?

Anonymous said...

ni idea nzuri ya kutembea kupata mambo mapya,hongera kwa kupata akili hio

Anonymous said...

Hope its true manake mademu wa bongo kwa kuota ndoto za mchana hamjambo. na kama ni kweli mwenyezi mungu akujaalie ndoto yako itimie. lkn kabla ya kutype kitu hapa angalia spelling manake dunia nzima inasoma hii blog.

Anonymous said...

unaenda alone au na shemeji?

sintah said...

naenda peke yangu na my aunt jasmine jimmy

sintah said...

anonymous wa aug 24th nina kazi nyingi sana mara nyingine nampa mtu afanye hii kazi kama akikosea ni binadamu yeye sio malaika ndio maana wanasema human beings arent perfect hata wewe unaweza ukamsahihisha kwani hajaziliwa anajua,au mimi nikikosea typing error lazima useme maana ninafanya kazi tatu kwa mpigo ku apload PS na kazi zangu sasa ukiona kuna mistake sema but not complaining
sioti ndoto za mchana ndo maana nasema kuwa Mungu anisaidie
sikuurupuki ninajipanga aunt aunt

Anonymous said...

sintah umeongea la maana maana spelling watu wanakosea
pol kwa majukumu mengi ndio ukubwa huo dada hata hivyo tunashukuru maana unatujali na kutuhabarisha bado
mama Vicky

Anonymous said...

TUTAOMBA PICHA TAFADHALI YA HIYO HOLIDAY YAKO NA SIE TURIDHISHE MACHO MANAKE UWEZO HATUNA.

Anonymous said...

mi naona watu wengine huwaga wanakurupuka kukoment bila kusoma habari nzima mtu kasema mwenyeezi mungu akijaalia ataenda huko dec bado unaleta porojo duu au ndo ushindani?

Anonymous said...

kwanini usikubali tu umekosea mpaka usingizie etikuna mtu unampaga akutaipie....