Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

PICK OF THE DAY MTOTO WA ABRAHAM SEPETU


YOU ROCK BABY
10 comments:

Anonymous said...

lakini tukiacha mambo mengine tunayosikia kama ni kweli, huyu mtoto kifaa haswa, mzuri na anajua kujieleza hata ukimsikiliza acheni tu

Anonymous said...

mtoto mzuri tena sana ila anapepo wa ngono,muda c mrefu tutackia ameachana na kiselengeti chake na yupo na somebody else

Anonymous said...

HA HA HA JAMANI HUYU KAIBUKIA WAPI TENA. UKIONA KAANZA KUTOA PICHA ZAKE BILA ICHO KIKAPURWA UJUE KIMENUKA. TUNASUBIRI GENTLE MAN MWINGINE AJIVULIE SAMAKI HUYU

Anonymous said...

kiukweli wema ni mzuri sana ila haendani kabisa na wanaume anaotoka nao yote tisa mh kwa diomond ndo kachemsha mbaya bora hata kanumba ,wema mdogo wangu tulia ninauhakika utapata type yako anaeendana na hadhi yako .kwa diomond sioni future.nataka sikumoja nikuone na mtu kama van vicky wa ghana

Anonymous said...

Van Vicky ana wife mwenye heshima zake unadhani watu wanaoa hizi type. Wanachezea tu.

Anonymous said...

ama kweli lakin ingewezekana kupata watu wa type ya van vicky kama angejieshimu na kuwa na msimamo from day one alipokuwa maarufu.

Anonymous said...

DISGUSTING

Anonymous said...

acheni kujadili maisha ya watu jamani nyie wenyewe mna mabwana au madem wa ngap mpk sasa au mnaona ya wema kwa kuwa magazet yanamulika? huyo sinta menyewe kaweka picha mbaya mbaya wakat wema anazo nyingi nzuri na za kuvutia ndo nini kuweka vipicha vya zamani wivuuu tuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Anonymous said...

msimuongelee hivyo jamani unadiliki kukili ana pepo la ngono sasa hapo unamsema wa nn zaidi ya kumuombea jamani mungu amtoe huko amfikishe sehemu uliyo ww ya kujiheshimu

Anonymous said...

wema ni mkali, huo ndo ukweli, na wema sio malaya ila ana bahati mbaya ya kupata wanaume ambao hawajatulia.....yani anakua broke hearted sana!! tatizo ana papara,akiachana na huyu soon anapata mwingine...inatakiwa uwe unatulia ili usifanye wrong selection!!