Sintah.Com Launched

Karibu Sintah.Com. Bonyeza Hapa Kuingia Sintah.Com

KILA KAZI INAMAAPUMZIKOOOOOOOOOOOO

kila siku katika my face book page utakuta watu wananiuliza dada Sintah rudi tena uigize,jamani kupitia blogspot hii napenda kuwarifu kila kazi ina mwisho wake ndo maana hata wale waajiriwa wakifikia miaka 60 inakuwa kushnehi tena sasa nami ni kushnehi naangalia ustaarabu wangu mzima wa maisha,nimeamua kuweka picha hii nikisisitiza LAZIMA TUPUMZIKEona sasa huyu denti alivyochoka akajipumzisha jamani kazi na mapumziko

5 comments:

loveracheltz said...

hahahhaha SINTA ur soo crayz lol me kicheko tu hapa ahahhahah

Anonymous said...

sinta jamani rudi maana wewe ni juu tuu dada yaani movie moja tu na ninataka nikupe list yangu,sinta,jokate,wema,kanumba,jb,aunt,lulu,nargis,hebu fikiria itakuwaje hio??hebu fikiria mdada

Anonymous said...

sinta
kwa upande wangu mimi napenda uwe hivyo hivyo maana hii kazi sasa imekuwa ni ya umalaya sana watu wanataka kuuza sura,uko level nyingine fikiria zaidi kufanya mambo makubwa kupitia jina lako best
ni nini
Lizzy

Anonymous said...

PS sijuikama unasoma comments au labda nimechemsha ... Nilikuwa na kupenda sana wakati uanigiza... naomba kuuliza kwa hivi sasa wafanya nini? mara ya mwisho alinambia dada ko Judy wa tabata au alikuwa anakaa Ilala pia .. ulikuwa uanasoma nairobi...

Take care of u and happy belated birthday

dada Mimi

Anonymous said...

naungana na mdau hapo juu.
kwanza umeshaolewa? au ndio umeanza kuuza sura kwenye mablogu?

mabinti bongo kazi kweli kweli